Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo aachane nao tu
wakacheze wao kama Ronaldo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wafanyakazi wa azam wanalipwa laki unusu.. ila wachezaji azam mamilioni ia hawagomi.. wapi wafanyakazi wa mohamed enterprises mshahara laki moja.. huku simba wanalipa watu milioni 10 kwa mwezi.. wapi manji na yanga na quality group staff
Braza mchezaji kama ronaldo hato kuja kutokeaKwani Ronaldo mchezaji? Si mmaliziaji tu kama mastriker wengine!
Unaongea kimapenzi sana..Braza mchezaji kama ronaldo hato kuja kutokea
Ana kila uwezo unao ujua wewe si kichwa si kulia si kushoto si stamina si speed si dribble vyote anavyo kama umemuona toka utotoni mwake utakua shaidi
Na kama kuna mchezaji alishakua na vigezo vyote hapo juu ukmtoa pele si vbaya ukinifahamisha .
Kivipi mwambaUnaongea kimapenzi sana..
Nadhani uanze kutumia ubongo zaidi ya moyo kwanza
kama sio mchezaji ila mmaliziaji hata wao wanaweza kwenda kumalizia kama ni rahisiKwani Ronaldo mchezaji? Si mmaliziaji tu kama mastriker wengine!
Ni kweli moyo ukipenda macho hayaoni kabisa.. [emoji4] [emoji4] ila sio mbayaKivipi mwamba
Nmemtumia ubongo na sijaona kama yupo mwenye uwezo kama uo
Si vbaya ukmtaja wako mimi Hua nafata ukweli ulipo kama kamzidi ivo vigezo ya nini nimpambe cr7