Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Sawa tunajua uko na hasira sana, lakini sasa ndugu mtu😏 anawezaje kuwa nyan'gau😼 na hapohapo kunguni🐞!! wow 😂😂🤣🤣Hawa nyang'au ni kunguni.
Wakenya hawalipendi hili bomba, yaani tukitoboa tufanye shereheWale sio wafaransa,mfaransa kamwe hawezi kuongea kiingereza na rais wake!wazungu njaa wale wametumwa na jirani mnafiki
Yaani nawaza ivo ivo.Kwani wao linawahusu nini
Wanataka liende kwaoWakenya hawalipendi hili bomba, yaani tukitoboa tufanye sherehe
Pesa yaoKwani wao linawahusu nini
Kwao hakuna wezi na Wala rushwa kama huku, tangu ikulu mpaka ofisi ya mtaa.Kwani France ndo wana finance hiyo project??
Alafu kama ni risk,mbona huko kwao wanafanya
Kwa utawala huu ambao hata kuounguza makali ya kupanda kwa bei ya mafuta ni siasa tutawezajeHivi hatuezi kufanya wenyew yatusaidie mpaka tutegemee wao?!!
Hao ni mapandikizi wa Kenya , lisitishwe kwa lipi hasaUganda-Tanga
Huyo si mzungu ni hawa wakikuyu na wajaluo walianza kwa maandamano feki hukohuko…Naunga mkono hoja...
kuna wazungu wanafiki sana, hawapendi kuona inchi za kiafrica zinaendelea, wanapenda kutuona tupo dependents kwako miaka nenda miaka rudi.