Raia wamsimamisha Rais Macroni atoe kauli ya kusitisha uwekezaji wa bomba la mafuta kutoka Tanzania kwenda Uganda

Raia wamsimamisha Rais Macroni atoe kauli ya kusitisha uwekezaji wa bomba la mafuta kutoka Tanzania kwenda Uganda

Hiki kitu kizito kinaangukia kwenye utawala wa Rais Samia, ajiandae vizuri huko mbeleni hali inaweza kuwa tete.
 
Wale sio wafaransa,mfaransa kamwe hawezi kuongea kiingereza na rais wake!wazungu njaa wale wametumwa na jirani mnafiki
 
Kwani France ndo wana finance hiyo project??

Alafu kama ni risk,mbona huko kwao wanafanya
 
Hivi hatuezi kufanya wenyew yatusaidie mpaka tutegemee wao?!!
 
Kwani France ndo wana finance hiyo project??

Alafu kama ni risk,mbona huko kwao wanafanya
Kwao hakuna wezi na Wala rushwa kama huku, tangu ikulu mpaka ofisi ya mtaa.
 
Hao ni Wakenya marafiki zake deshi deshi...
 
Hivi hatuezi kufanya wenyew yatusaidie mpaka tutegemee wao?!!
Kwa utawala huu ambao hata kuounguza makali ya kupanda kwa bei ya mafuta ni siasa tutawezaje
 
Naunga mkono hoja...
kuna wazungu wanafiki sana, hawapendi kuona inchi za kiafrica zinaendelea, wanapenda kutuona tupo dependents kwako miaka nenda miaka rudi.
Huyo si mzungu ni hawa wakikuyu na wajaluo walianza kwa maandamano feki hukohuko…
Sasa wamemtumia Macron hukohuko halafu mara zote ni Ufaransa kuna ujinga wanaupika hawa jamaa wamekaa kindezi sana
 
Back
Top Bottom