niliskia mtz flani kaanzisha thread hapa JF "Raila alishwa sumu Nchini Kenya" lol! watu wajinga sana hawa watz...yaani food poisoning ni kulishwa sumu???? dah! Kiingereza kilikuja na meli...food poisoning sio kuwekewa sumu kwa chakula...wacheni ujinga! food poisoning ni mtu akila chakula ambacho kimeharibika....kama vile maharagwe yaliyolala

Kila uchao mtu anafaa angalau awe amejifunza jambo jipya aisee.Ala,si jambo mbaya!Wenyewe lugha yao inawapita kwenye pua,sisi bado sana.Lakini nawasihi sana,tukienzi kiswahili,kabla ya zote hizo zao,ndugu zangu wakenya!