Raila akubali Maridhiano na Serikali ya Ruto lakini Washirika wake Kilonzo, Kijana na Karua wamtenga na kuwaunga mkono Gen Z!

Raila akubali Maridhiano na Serikali ya Ruto lakini Washirika wake Kilonzo, Kijana na Karua wamtenga na kuwaunga mkono Gen Z!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Ruto atangaza siku 6 za mazungumzo ya kitaifa. Mazungumzo kujumuisha wadau mbalimbali nchini. Kikao hicho kuanzia Julai 15 kujumuisha pia vijanaRais: Kikao hiki kitaangazia mustakabali wa taifa
Gen Z wamegoma kujumuishwa kwenye Kikosi Kazi cha Maridhiano na Serikali

Raila Odinga akubali

Kilonzo Musyoka akataa

Kijana Wamalwa akataa

Martha Karua akataa

Azimio yaweza kupasukapasuka kwa kweli

Credit Citizens tv

Mlale Unono
 
Siku zote ukitaka kuchora ramani ya muelekeo wa nchi basi usihusishe wanasiasa kabisa.
 
Back
Top Bottom