johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wanajua kuliko unavuofikiria. Wamejipanga, ndio maana juzi Ruto kawaomba msamaha.Hii ni hatari sana. Sasa wanataka nini? Usikute hawajui wanachotaka hao.
Au wanafurahia fujo, purukushani na ghasia?
Watajuana wenyeweWanajua kuliko unavuofikiria. Wamejipanga, ndio maana juzi Ruto kawaomba msamaha.
HahahahaRaila hana tofauti sana na Mwenyekiti
Alisema hao ni wahuni tu, wamemletea hasara kubwa. Unawaombaje msamaha wahuni?Wanajua kuliko unavuofikiria. Wamejipanga, ndio maana juzi Ruto kawaomba msamaha.
Siku zote ukitaka kuchora ramani ya muelekeo wa nchi basi usihusishe wanasiasa kabisa.Gen Z wamegoma kujumuishwa kwenye Kikosi Kazi cha Maridhiano na Serikali
Raila Odinga akubali
Kilonzo Musyoka akataa
Kijana Wamalwa akataa
Martha Karua akataa
Azimio yaweza kupasukapasuka kwa kweli
Credit Citizens tv
Mlale Unono