Raila Amollo Odinga atashinda uchaguzi mwaka huu na kuwa rais wa Kenya

Raila Amollo Odinga atashinda uchaguzi mwaka huu na kuwa rais wa Kenya

zitamsaidia kwa idadi kubwa kwa sababu waluyha pia ni wengi sana...wako nambari tatu after Kikuyu and Kalenjin....the problem however, is that the Luyhas are divided.most of them said that they will not vote if Musalia Mudavadi (Luyha leader) is not declared the NASA flagbearer...

Tangu lini wakalenjin wakawa wengi kushinda Waluhya?

According to the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS), Kenya has a total population of 38,610,097 inhabitants. The largest native ethnic groups are The Kikuyu (6,622,576), Luhya (5,338,666), Kalenjin (4,967,328), Luo (4,044,440), Kamba (3,893,157), Kisi (2,205,669), Mijikenda (1,960,574), Meru (1,658,108), Turkana (988,592), and Maasai (841,622). Foreign-rooted populations include Kenyan Arabs, Somalis, Asians and Europeans.[7]
https://en.wikipedia.org/wiki/Demographics_of_Kenya#cite_note-7
 
Safari hii naona Luhya community wapo divided kutokana na kutoridhishwa jinsi NASA walivyogawana madaraka. Walitaka mtu wao mmoja kati ya Mudavadi au Wetangula awe President au Deputy president. Kura zitagawanyika. The same goes to Kamba community.
 
Wadau lets wait the people are awakening wakenya wamekuwa wakigawanywa kwa kutumia dhana hafifu kwamba ukabila, kwani ukabila kitu gani Uhuru na wale waliomtangulia wamekuwa wakitumia mbinu hafifu kama hiyo which is no longer effective to the current world situation. The world is so much interacting, the people are more after interests than other arrogant ideologies like tribalism. All in all lets wait August will come, Kenyans will vote na wataleta mrejesho humu humu JF.😛😀
 
Those who do not learn from history are doomed to repeat it, Wakenya wanakumbuka yale mauaji na machafuko yaliotokea 2007 na sidhani kama wataendelea kuwalea tena waendekeza siasa hizi chafu, wakina UHURUTO.
 
Jaluo kushinda urais kenya ni ngumu sana kama ccm ya Magufuli kutoa ajira!! Kura za Waluhya amezikosa na siasa za Kenya bila ukabila hutobozi! Kikuyu + Kalenjin ni muunganiko mkubwa mno huo ambao Waluo hawawezi kuungasha!! Hivyo baki na ndoto yako!!
Humu ni JF ndio maana hata nyinyi watetea siasa chafu na msiopenda utawala bora mnaweza changia, RAO amekuwa akijitahidi kutengeneza Kenya ambayo Wakenya wote wanaweza elewana kwanza na kisha wakasukuma maendeleo yao kwa pamoja kama taifa. This quote is to all Kenyans, Fool me once shame on you, fool me twiceshame on me! There won't be a 3rd time! Jamani ni heri kucheza na mali za watu lakini si maisha na uhai wa watu. Kenyans have realized this and I believe they wont repeat their mistakes again. UHURUTO hawafai and thats a fact. The world is changing. Lets wait, August is coming and down comes the tyrants.
 
Jaluo kushinda urais kenya ni ngumu sana kama ccm ya Magufuli kutoa ajira!! Kura za Waluhya amezikosa na siasa za Kenya bila ukabila hutobozi! Kikuyu + Kalenjin ni muunganiko mkubwa mno huo ambao Waluo hawawezi kuungasha!! Hivyo baki na ndoto yako!!
yani we acha tu huku msukuma anakaza na kule jaluo anakaza sasa sijui mganda sijui mrwanda yani nashindwa kujua na atakuwa na unafuu afrika masharika hii
 
zitamsaidia kwa idadi kubwa kwa sababu waluyha pia ni wengi sana...wako nambari tatu after Kikuyu and Kalenjin....the problem however, is that the Luyhas are divided.most of them said that they will not vote if Musalia Mudavadi (Luyha leader) is not declared the NASA flagbearer...
Sawa ni gani wanafanya hawa waluyha...nasema wakenya wasikie kuwa hamtutishi..kama kura situtaomba kama wengine mkikosa kutupatia basi.. Acha maneno mingi bana kwani dunia itakosa kwenda...tufuteni mtu mwingine wa kumtisha...by the commander in chief himself Uhuru Kenyatta..
 
Si mfuatiliaji sana wa siasa za Kenya lakini nadiriki kusema kuwa RAILA AMOLLO ODINGA atashinda urais mwaka huu, Uhuru Kenyatta kwisha hawezi shindana na kile kichwa ana mbinu amejipanga sana.

Jambo lingine linaloashiria kabisa kwamba RAO atashinda ni hiki chama kilichoanzishwa cha CCM yani CHAMA CHA MASHINANI.

Kama wewe ni mtu makini kabisa unaweza ona kabisa kwamba yawezekana RAILA AMOLLO ODINGA na NASA yawezekana wakawa backed up na CCM ya TANZANIA. This is my bet guys but lets wait time will tell.
Issue ni kutangazwa mshindi mazee na siyo kushinda kwa kura😎. Kama ni kura anaweza kkupata lakini ikulu ng'ooo...
 
Siasa za ukabila. Mnapanda bus la makabilaa. Amtaweza kuundoa uhozo huo haswa wa rushwa..
 
Kwa siasa za Kenya, Jaluo kuwa rais ni jambo gumu sana. Tusubiri hadi kura ipigwe na kuhesabiwa,
 
Si mfuatiliaji sana wa siasa za Kenya lakini nadiriki kusema kuwa RAILA AMOLLO ODINGA atashinda urais mwaka huu, Uhuru Kenyatta kwisha hawezi shindana na kile kichwa ana mbinu amejipanga sana.

Jambo lingine linaloashiria kabisa kwamba RAO atashinda ni hiki chama kilichoanzishwa cha CCM yani CHAMA CHA MASHINANI.

Kama wewe ni mtu makini kabisa unaweza ona kabisa kwamba yawezekana RAILA AMOLLO ODINGA na NASA yawezekana wakawa backed up na CCM ya TANZANIA. This is my bet guys but lets wait time will tell.

Mwenye hicho Chama Cha Machinani, Isaac Ruto, hana influence yoyote. Anagombea ugavana huko Bomet, bado akingoja kuteuliwa kama Deputy Premier.
Kumaanisha Raila akishinda, naye Ruto ashinde ugavana, Bomet itakuwa na by-election.

If Isaac Ruto is confident in Raila's win, he should pull out of the Bomet race and campaign nationally with Raila.
As of now, I don't think he'll even be elected governor.
 
Wewe siasa za Kenya hujui lolote na ndio umeanza kufuatilia leo. Hizi teams zilishakutana mwanzo tena Kenyatta na Ruto wakiwa na kashfa kubwa na hawakuwa na experience kama RAO wakamchapa first round na kuushangaza ulimwengu.

Leo hii RAO hana jipya lolote la kuwaambia Wakenya zaidi ya kutegemea weakness za UHURUTO mbaya zaidi Uhuru na mwenzie this time wako better off wamefanya makubwa na yanaonekana. And don't forget ni ngumu sana Africa kumunseat Rais aliyeko madarakani na pia kuna war-factor ambayo hubind taifa na uongozi kupita maelezo.

Had they stood the chance, it was in the last elections

Mchanganuo mzuri
 
Mtoa mada wacha kuchanganya vitu,
Hilo jina la chama ni ufupisho tu
halina muingiliano na CCM ya Tanzania hata kidogo,
Kuna 70% ya Uhuru kuendelea kuongoza Kenya
Jamaa alifeli kwenye Rushwa ,Ufisadi na Ulinzi kidogo,
Mengineyo kajitahidi.
Kumuondoa Rais Aliye Madalakani Siyo mchezo
jamaa alisha jipanga
 
Mtoa mada wacha kuchanganya vitu,
Hilo jina la chama ni ugupisho tu
halina muingiliano na CCM ya Tanzania hata kidogo,
Kuna 70% ya Uhuru kuendelea kuongoza Kenya
Jamaa alifeli kwenye Rushwa ,Ufisadi na Ulinzi kidogo,
Mengineyo kajitahidi.
Kumuondoa Rais Aliye Madalakani Siyo mchezo
jamaa alisha jipanga
tatizo mnakrem mambo
 
Back
Top Bottom