Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Raila hawezi kushinda uchaguzi japo ni mtu ninayemkubali. Jubilee chama cha mabishoo kinakubalika kwa vijana wengi. NASA haina tofauti na UKAWA. anasubiri tu aje asingizie ameibiwa kura kama Lowassa. Lowassa alituhadaa kuwa atalinda kura kumbe wapi!! Anyway nashkuru alichangia kunipa akili ya kuzamia