Raila Amollo Odinga....The Enigma of Kenyan Politics.


Usikate tamaa mkuu!
 
tungo nzuri, lakini UKABILA bado tatizo kubwa. Can't you Kenyans complete a paragraph without tribal elements? shame on you.
 
This is the pre-concession concession speech.

Labda wanafanya "Dry Run" kuangalia upepo.

Raila watu wamemchambua nje ndani na kumuandikia kitabu, he is as much of an enigma as you want him to be.
 
Inauma sana.
Ila wataingia duru la 2 bila shaka
Hakuna duru ya pili, wanajiandaa kumtangaza Uhuru kama Rais mpya wa Kenya. Kwa kuwa ameshinda kwa zaidi ya asilimia 50.
 
Kwa sababu siasa za Kenya zimetawaliwa na ukabila, kitendo cha Raila kukubali kumendorse kiongozi wa kabila tofauti kilipaswa kupongezwa na kuwa rewarded. Kufanya hivi kungetengeneza hamu ya kwa wanasiasa kuutaka ushujaa huu wa kuvuka mipaka ya ukabila. Hapo ingekuwa mwanzo wa kuumaliza ukabila Kenya.

Kwa vile viongozi wa sasa wanaingia madarakani purely kwa ukabila, hawawezu kuhalamisha kilichowahalalisha na ukabila utaendelea kuogelea kwenda mbele.
 
Yes of Course!
'You will not remember him now, because right now, he's a dictator, betrayer and a tribalist to you. But a day is coming when the whole nation will remember Raila Amollo Odinga' I once told my fellow college mates while inaugurating Engineering School at Kenyatta University that 'RAILA is a vsionary leader, and that we need this kind of leadership in Africa" Not now, but one day the whole nation will remember Raila Amollo Odinga.
 
tungo nzuri, lakini UKABILA bado tatizo kubwa. Can't you Kenyans complete a paragraph without tribal elements? shame on you.

Kama vile nyinyi wadanganyika siku hizi Vasco Dagama wenu amewahalibu kwani hamuwezi kuandika stanza moja bila kutia UDINI ndani yake!!
 
They swore that "THE FLAG WOULD NEVER LEAVE THE HOUSE OF MUMBI"!!!
 
51.27% for Uhuru. this is a closed deal. Hongera kwa wakenya wote kwa kupata Rais mpya mliyemchagua.
 
What Raila started is a movement! The struggle against the status quo has just began. I urge Kenyans to respect the elections, be weary of the fact that we are largely a tribal society and that the powers that be will use this to get their way.
 
Those words are full of truth and wisdom. The man (RAO) has fought for kenyans for many decades to make sure that democracy prevails in the country. Yet the prize he got was that of being named a dictator. Those who were working with him described him as a no nonsense man, he wanted people to be hard working again this created even more enemies for him. Those who suffered under Moi regime am sure will remember him. Raila has fought the war but behind him there were people from the gikuyu land who by hooks and crooks did not want to see him in the state house. Like what others said RAILA will be remembered for his struggles to bring democracy in the country. Let them, the Kikuyu and the Kalenjin, rule the country as if they were destined to rule kenyans but time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…