KennedyMmari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2012
- 979
- 187
Kama vile nyinyi wadanganyika siku hizi Vasco Dagama wenu amewahalibu kwani hamuwezi kuandika stanza moja bila kutia UDINI ndani yake!!
hahahahahahaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vile nyinyi wadanganyika siku hizi Vasco Dagama wenu amewahalibu kwani hamuwezi kuandika stanza moja bila kutia UDINI ndani yake!!
Kwa sababu siasa za Kenya zimetawaliwa na ukabila, kitendo cha Raila kukubali kumendorse kiongozi wa kabila tofauti kilipaswa kupongezwa na kuwa rewarded. Kufanya hivi kungetengeneza hamu ya kwa wanasiasa kuutaka ushujaa huu wa kuvuka mipaka ya ukabila. Hapo ingekuwa mwanzo wa kuumaliza ukabila Kenya.
Kwa vile viongozi wa sasa wanaingia madarakani purely kwa ukabila, hawawezu kuhalamisha kilichowahalalisha na ukabila utaendelea kuogelea kwenda mbele.