Raila Amollo Odinga....The Enigma of Kenyan Politics.

Raila Amollo Odinga....The Enigma of Kenyan Politics.

Kwa sababu siasa za Kenya zimetawaliwa na ukabila, kitendo cha Raila kukubali kumendorse kiongozi wa kabila tofauti kilipaswa kupongezwa na kuwa rewarded. Kufanya hivi kungetengeneza hamu ya kwa wanasiasa kuutaka ushujaa huu wa kuvuka mipaka ya ukabila. Hapo ingekuwa mwanzo wa kuumaliza ukabila Kenya.

Kwa vile viongozi wa sasa wanaingia madarakani purely kwa ukabila, hawawezu kuhalamisha kilichowahalalisha na ukabila utaendelea kuogelea kwenda mbele.

Alimuendorse Kibaki kipindi hicho kwa sababu hapakuwa na mgombea wa kabila lake, waliungana wengi tu na wengine walitoka KANU na lengo hasa ilikuwa ni kumshinda Uhuru ambaye alikuwa chaguo la Moi, sasa wao wakamwambia umefanya kosa kubwa kutuchagulia Uhuru na kweli walifanikiwa.
 
I beg to differ. "The best president we never had" is a very relative statement considering the situation in Kenya. I can tell you for sure that ANY president is BEST for Kenya so long as there is PEACE.
....
 
Back
Top Bottom