Kiambu mafia
Member
- Mar 26, 2013
- 43
- 10
Baada ya kutamatisha ziara yake ya uingereza, aliyekua Waziri Mkuu wa Kenya amerudi na agenda mpya.
Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JomoKenyatta, bwana huyu amewambia wanahabari yakwamba, Kenya haihitaji office ya Urais tena. Anadai zama za "Mr. President" zimepitwa na wakati na ndizo zinazo eneza ukabila nchini Kenya.
Anapendekeza mfumo ambapo, chama chenye wabunge wengi kiunde serikali
Wakati wa katiba mpya alikua wapi, ni aibu kwa mmtu mwenye heshima kama yeye kuja na maneno kama hayo wakati alikua na uwezo wa kuliweka kwenye katiba.
tatizo liko wapi hapo morinyo? Hata katiba inaweza ikafanyiwa amendments..alafu sijui kama ulifuatilia ile speech yake kule uk alipokuwa akiwahutubia wale ma CEO i wish ungeifuitilia na kuona jinsi wale matajiri walivyokuwa wakinod na kumpigia makofi..acheni kukurupuka na chuki za ajabu ajabu.
tatizo liko wapi hapo morinyo? Hata katiba inaweza ikafanyiwa amendments..alafu sijui kama ulifuatilia ile speech yake kule uk alipokuwa akiwahutubia wale ma CEO i wish ungeifuitilia na kuona jinsi wale matajiri walivyokuwa wakinod na kumpigia makofi..acheni kukurupuka na chuki za ajabu ajabu.
He will talk himself to irrelevance unless Uhuruto f###s up big time.
Baada ya kutamatisha ziara yake ya uingereza, aliyekua Waziri Mkuu wa Kenya amerudi na agenda mpya.
Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JomoKenyatta, bwana huyu amewambia wanahabari yakwamba, Kenya haihitaji office ya Urais tena. Anadai zama za "Mr. President" zimepitwa na wakati na ndizo zinazo eneza ukabila nchini Kenya.
Anapendekeza mfumo ambapo, chama chenye wabunge wengi kiunde serikali
It would have only been fair if you had provided a link to this story and let people reach their own conclusions. Trying to insinuate that Raila is advocating for a change in the constitution is dishonest and malicious as you can get. As many your kind try to insinuate all over the social media that 'Raila ni raia'...let the man air his opinions without fear please.
Below is what Raila said...and nowhere does he say the constitution should be changed. This is an individual airing his views but because some of you are so obsessed to demonise Raila, you just run with it. Then understand the context upon which is Raila is coming from...he was talking to the larger Africa having coming from the Time's Africa CEOs summit in the UK where he and Koffi Annan had been speakers.
Raila Odinga: Parliamentary system best for democracy
Former Prime Minister Raila Odinga is received by Cord leaders including nominated Senator Janet Ong'era (centre) and National Assembly Minority Leader Francis Nyenze (right) at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) when he arrived from London, UK May 3, 2013 ANTHONY OMUYA
By PETER LEFTIE
Posted Friday, May 3 2013 at 09:16
Former Prime Minister Raila Odinga has called for the adoption of a parliamentary system of government saying it offers Kenya's best solution to tribalism.
Mr Odinga discredited the presidential system saying it was divisive and only served to entrench tribalism and the big man syndrome.
We need parliamentary democracy where the party with a majority of MPs forms the government. It is the only way through which a person from a small community like the Maasai or Samburu can ascend to power. It is a system which has worked very well in mature democracies all over the world, Mr Odinga said.
It is something which needs to be debated here in Kenya as we go forward."
Speaking at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) upon arrival from the UK where he had gone to attend the Times Africa CEOs Summit on investment opportunities on the continent, Mr Odinga said that Africa was gradually transiting from military dictatorship and one party rule to multi-party system and it is imperative that systems that support democracy are entrenched.
Africa is moving away from the big man syndrome, the days of Mr president, the big man so that when one runs for the presidency, his community thinks he is our candidate, Mr Odinga noted.
Mr Odinga and Ghanaian president Johnh Dramani Mahama were the key speakers during the Summit organised by the Times of London.
The former PM also called for reforms in the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) saying it could no longer be trusted to conduct a free and fair General Election.
We had a lot of evidence showing the misconduct of IEBC, even the court said that IEBC should be investigated. This IEBC must be reformed, Kenyans cannot afford to go into another election with this IEBC, he maintained.
He also hit out at Supreme Court for expunging the evidence he had adduced to prove that the March 4 presidential election was not free and fair.
Remember that 800 pages of our evidence was struck out with a stroke of the pen. Then the same court goes ahead to say that there was no evidence, is this justice or injustice, Mr Odinga wondered.
When the Chief Justice says he is offended, he should know that there are Kenyans out there who are more offended than him."
Raila Odinga: Parliamentary system best for democracy - Politics - nation.co.ke
Sasa Daktari, Mungu katupea akili za nini?
How else can the system be changed if not through amending the constitution?
My point is Rails has introduced a debate for Kenyans to partake in. That does not necessarily mean that the idea will be taken up b parliament. I reiterate again, Raila is speaking like the common man and he should not be demonised for his comments as I see many in this thread doing. Unless you want to tell me that the common mwananchi is not entitled to his/her opinion?
Experience is the best teacher,Raila alichoongea kama ni tunda la akili yake mwenyewe basi huyu jamaa ana akili kali ya ajabu kwenye kunyumbulisha mambo ya kisiasa nchini kenya,kwasababu kusema ule ukweli kwa hali ya ukabila ilivyo kenya hii ya Raila inaweza kuwa mwarobaini wa kutibu ule ukabila.Ni kitu nzuri nakubaliana nayo.