kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,677
Wananchi wa Kenya leo wanapiga kura kuwachagua viongozi wao katika Uchaguzi Mkuu wa kwanza baada ya kupata Katiba Mpya, ambao unawapambanisha vikali watoto wa waasisi wa taifa hilo ambao sasa ni marehemu.
Uchaguzi wa leo unaelezwa kuwa na kinyanganyiro kikali ambacho hakijawahi kushuhudiwa baina ya wagombea wawili wa urais, Uhuru Kenyatta wa Muungano wa Jubilee na Raila Odinga wa Cord.
Uhuru ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta, wakati Raila ni mtoto wa aliyekuwa Makamu wa Kenyatta, Jaramog Oginga Odinga.
MAMBO MUHIMU:
Kinachofuta; Iwapo mgombea Rais atafikisha zaidi ya nusu ya kura kwauchaguzi waleo, atatangazwa mshindi.
Ikishindikana, unafanyika uchaguzi wa marudio baina ya wagombea wawili wa kwanza, kati yao atakayepata kura nyingi atatawazwa kukalia Ikulu ya Kenya.
Walikotoka; Anayechaguliwa leo Rais wa nne wa Kenya. Marais watatu waliotangulia ni Jomo Kenyatta, Rais wa kwanza, Daniel Arap Moi, rais wa pili, na anayeondoka, Mwai Kibaki.
Wagombea wawili wanao pambana vikali; Uhuru Kenyatta na Raila Odinga Ni watoto wa waasisi wa Taifa la Kenya, wakati Uhuru ni motto wa rais wa kwanza, na Odinga ni motto wa aliyekuwa Makamu wa rais.
Je ni nani atakayeingia ikulu leo? ( ..) chagua jibu moja tu, (a) au (b)
(a) Raila Odinga
(b) Uhuru Kenyatta