Raila is wrong, Kenyan troops must remain in Somalia and bring order

Raila is wrong, Kenyan troops must remain in Somalia and bring order

one thing i adore kenyans ni kwamba wanajua kujitapa ilihali ni scape goats tuu...............
ukikutana na mkenya atajidai kweli kweli kumbe uzuri wa huo mji wa Kenya upo mita chache tu hapo mjini, life to them is too difficult most of them wanakula kwa shida kulala kwa shida lucky ones ni wale walio oa hapa Tanzania ambao kwa namna moja wanapata hata unafuu wa kusafirisha magrill ya kujengea na mabati kutoka tz kwenda kwao.ukitaka kuijua kenya nenda kalale nje ya sijui wanapaita matomboo uwiii utalia lkn wakija hapa bongo mnajidaiii as if you are better, kwetu hata manzese mnalala loging nzuri nyie manzese ya kwenu ikoje??

Hivi unauelewa Wabongo wamejaa miji ya Kenya wanafanya omba omba barabarani, jameni mimi huwahurumia sana, usishabikie bila ufahamu kwanza. Soma taarifa zaidi https://www.google.co.tz/webhp?sour...espv=2&ie=UTF-8#q=tenzania beggars in nairobi
 
Back
Top Bottom