RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA

RAILA: Jumatatu Ndiyo Itakuwa Mama wa Maandamano, Gachagua Kasema Ndiyo Mwisho wa RAILA

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa.

Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya.

20230401_201346.jpg

DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa 'biashara kama kawaida' baada ya hapo kwani 'Serikali itatumia mamlaka yake ipasavyo'
 
Ruto ni mtu smart, Gachagua ni msema hovyo. Sioni kama Ruto atafika nae mbali, hapo naona kama anamvumilia tu.
Gachagwa ni mtu muhimu sana kwa Ruto,
Ruto hawezi kumuacha
Katiba ya kenya inawapa ugumu viongozi
Hapo kenya kufanya maamuzi kuhusu haya maandamano
Ruto ni smart lakini ana tatizo la visasi
Hii inaenda kumfanya awe dikteta

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ruto ni mtu smart, Gachagua ni msema hovyo. Sioni kama Ruto atafika nae mbali, hapo naona kama anamvumilia tu.
Mkuu usifikilie kwa hapo ulipo tu, siasa za Kenya ukiachilia mbali ukabila zinabebwa na visasi.

Ukisema Ruto anaweza kumpiga chini huyu mwamba inabidi uwaze upande wa pili kuwa je, huyu mwamba akifurushwa pale as Deputy President ataondoka kwa furaha?.
 
Kithure Kindike ndo alitakiwa kuwa makamu wa Rais maana alishinda kura za vetting Tena alimzidi Gachagua kwa mbali Sana.
Ila Ruto alimua kumchagua huyu mropokaji.
Kindiki nae Ni Mkikuyu?
 
Ruto ni mtu smart, Gachagua ni msema hovyo. Sioni kama Ruto atafika nae mbali, hapo naona kama anamvumilia tu.
Wewe chadema, ulizoea kile kipindi JK anawaita Ikulu.

Gachagua ndio Ruto...Jumatatu ndio mwisho
 
Wewe chadema, ulizoea kile kipindi JK anawaita Ikulu.

Gachagua ndio Ruto...Jumatatu ndio mwisho
Napata shida sana kuwajibu watu wa aina yako humu JamiiForums.

Nikikuuliza kuna uhusiano gani kati ya mchango wangu na CHADEMA, JK sidhani kama unaweza kunijibu.

Sijui ni stress za maisha au ni ugonjwa wa akili? Pole!
 
Back
Top Bottom