Huyo Gachagua Ni punga tu Hana mbavu za kumzuia RailaHuyo Gachua nae bwana,watamtoa mavi.
Ruto ni mtu smart, Gachagua ni msema hovyo. Sioni kama Ruto atafika nae mbali, hapo naona kama anamvumilia tu.
Kwaiyo jamaa wanampakua biriani?Huyo Gachagua Ni punga tu Hana mbavu za kumzuia Raila
Gachagwa ni mtu muhimu sana kwa Ruto,
Ruto ni mtu smart, Gachagua ni msema hovyo. Sioni kama Ruto atafika nae mbali, hapo naona kama anamvumilia tu.
Mkuu usifikilie kwa hapo ulipo tu, siasa za Kenya ukiachilia mbali ukabila zinabebwa na visasi.Ruto ni mtu smart, Gachagua ni msema hovyo. Sioni kama Ruto atafika nae mbali, hapo naona kama anamvumilia tu.
Kindiki nae Ni Mkikuyu?Kithure Kindike ndo alitakiwa kuwa makamu wa Rais maana alishinda kura za vetting Tena alimzidi Gachagua kwa mbali Sana.
Ila Ruto alimua kumchagua huyu mropokaji.
Lakini, mbona Raila alinywea na kusitisha maandamano? Nani mtemi wa kweli hapo?Huyo Gachagua Ni punga tu Hana mbavu za kumzuia Raila
Wewe chadema, ulizoea kile kipindi JK anawaita Ikulu.
Ruto ni mtu smart, Gachagua ni msema hovyo. Sioni kama Ruto atafika nae mbali, hapo naona kama anamvumilia tu.
Wewe chadema, ulizoea kile kipindi JK anawaita Ikulu.
Gachagua ndio Ruto...Jumatatu ndio mwisho