Raila karibu ubakie na siasa zenu za Kenya huku AU haupawezi hapakufai

Raila karibu ubakie na siasa zenu za Kenya huku AU haupawezi hapakufai

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Niwapongeze sana wapiga kura wote walioshiriki kumkataa huyu bwana uchaguzi wa AU, Wengi walijiaminisha baba anakuwa mwenyekiti Ruto akamwingiza chaka eac wamejipanga na atashinda.

Haha baadhi ya mambo yaliyomfanya asishinde ni

1.Nchi yake kuruhusu ofisi za RFS za waasi kuwepo huko kenya
Src bbc swahili jana

Baba hii mlijichanganya sana sana

2. Kushindwa kutetea mapigano ya waasi wa m23 huko congo na kuna habari hazijathibitika anyway ntarudi tena

3.Babaaaa. Africa hatutaki watu wasio na msimamooo

Baba tangu ulipowauza wale gen z wakatetea haki za wakenya wakafa atujui kama walizikwa wote tunaamini watafufuka

Baba siku ambayo afrika ilikuogopa n siku uliporudiana na mh ruto

Baba gafla mkaletta mhuni mfanyabiashara adan

Gafla ukaitanpress unashabikia msimamo wa adan kuchukua aport jomo kenyatakweli baba

Mzee odinga angekuwa hai leo hi nahisi angekukana kabisa

Baba mda si mrefu ukweli ukathibitika mmepokea billions za adan

Src usa taarifa

Vijana wakaingia tena front kuwapinga mkahonga wabunge wapitishe huku ukishabikia anakuja kuleta maendeleo

Baba n huyohuyu adan rais rutto aliemshabikia akakutaaa akamkana akasema anavunja mkataba na hatolipwa chochote kwa kvunja mkataba

Baba wakenya awakukuamini tena na tena na sio hao n pamoja na members wa nchi kadhaa walikuogopa

Nafikiri hii iwe fundisho kwa wale waliokuwa wanasiasa kuchezea maslahi ya maendeleo ya nchi yao....


Ukikoswa aibu kwako utaaaibika nje ya nchi yako

Else baba nakutakia sana heri na fanaka na siasa zako za kenyaaaaa

Ujue tu wakenya wamekuchoka na hawatakuwmini tena

Siku njema baba raila odinga
 
Back
Top Bottom