Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wakenya wengi wanataabika umasikini wao umewafanya Wasomali wapate nafasi ya kuwamiliki kupitia biashara na kununua maeneo mengi...mjini wengi wana maisha nafuu ila huko nje ya miji ni balaa...Nashangaa wale wanaosema kuwa wakenya wako smart kwenye issue zao, msiishie mtandaoni, nendeni Kenya muone maisha halisi ya wakenya haswa vijijini. Kenya ni miongoni mwa mataifa yenye watu wa hovyo kuliko unavyoweza kudhani iwapo hujabahatika kuishi huko. Mkifika Kenya msiikomee mijini pata wasaa wa kuzama vijijini kwa muda wa kutosha
Wanatumiwa tu kwa maslahi ya wachache maskini ya mungu
Ruto na Uhuru ni kitu kimoja na si Laila na Uhuru. Wakati wa uchaguzi, ilikuwa ni trick ya kisiasa iliyopelekea Uhuru kuonekana wanakinzana na Ruto.Wakuu,
Sasa anaemsukuma huyu Odinga kufanya vurugu zote hizo ni Uhuru kenyatta na ndio mfadhili mkuu wa hiyo migogoro..
Ruto na Uhuru ni kitu kimoja na si Laila na Uhuru. Wakati wa uchaguzi, ilikuwa ni trick ya kisiasa iliyopelekea Uhuru kuonekana wanakinzana na Ruto. Ilifanyika hivyo ili kuhakikisha Ruto anachukua mamlaka kirahisi; possibly system ya nchi ndiyo iliyokuwa inafanya mchezo huo huku Uhuru, Ruto na Laila wakiwa ndiyo waigizaji wenyewe. Uhuru na Ruto ni kitu kimoja; usije ukadanganyika hata siku moja
Kabla sijawa wrong kama unavyoniona wewe leo, awali niliwahi kuwa na fikra kama ulizonazo wewe sasa hivi; kwa hiyo nilianzia kule ambako wewe bado upo mpaka muda huu; sijafika hapa nilipo kwa bahati mbaya. Nilipitia utafiti wa kutosha hasa wakati wa uchaguzi wenyeweUko wrong au hauna taarifa za kutosha juu ya Kenya
Wacha vijijini huko ambako wanakufa na njaa na mifugo ikifa hovyoNashangaa wale wanaosema kuwa wakenya wako smart kwenye issue zao, msiishie mtandaoni, nendeni Kenya muone maisha halisi ya wakenya haswa vijijini. Kenya ni miongoni mwa mataifa yenye watu wa hovyo kuliko unavyoweza kudhani iwapo hujabahatika kuishi huko. Mkifika Kenya msiikomee mijini pata wasaa wa kuzama vijijini kwa muda wa kutosha
Ndio maana naendelea na shughuli zangu hata nikiona Kuna mkutano wa Injili maana najua mwisho kuna masuala ya kukwanguana Sadaka, mkutano wa Siasa pia the same wanapigania maslahi yao kwa asilimia kubwa na yenu kwa asilimia ndogowale wanaoandamana wanaamini wanapiganiwa maskini kumbe watu wanapigania maslahi yao binafsi tu
Kabla sijawa wrong kama unavyoniona wewe leo, awali niliwahi kuwa na fikra kama ulizonazo wewe sasa hivi; kwa hiyo nilianzia kule ambako wewe bado upo mpaka muda huu; sijafika hapa nilipo kwa bahati mbaya. Nilipitia utafiti wa kutosha hasa wakati wa uchaguzi wenyewe
Ndio maana naendelea na shughuli zangu hata nikiona Kuna mkutano wa Injili maana najua mwisho kuna masuala ya kukwanguana Sadaka, mkutano wa Siasa pia the same wanapigania maslahi yao kwa asilimia kubwa na yenu kwa asilimia ndogo
Umeingia deep sana; mimi ni mTanzania ila naipenda sana Kenya yetu.Hauna taarifa sahihi rudi kajifunze upya, urafiki wa uhuru na. Ruto ulishakufa miaka mingi, urafiki wa raila, uhuru, gideon moi, kalonzo...
Umeingia deep sana; mimi ni mTanzania ila naipenda sana Kenya yetu.
Wakati wa utoto wetu, baada ya taarifa ya habari tulikuwa tunaimba wimbo uliokuwa ukipigwa KBC unasema hivi:
..Sisi wanaKenya tumeapa, kuwa nawe pamoja siku zote. Wewe ndiwe Rais Moi Dereva, wetu Kenya hatuna mwingine...
Ahsante sana kwa taarifa