Kimeendelea kunuka Kenya. Hakuna anayekioanisha na ukabila isipokuwa kutokea Tanzania.
Leo Raila alikuwa kapigwa kalamu kufanya vitu vyake Murang'a Ukikuyuni huko.
Unamsimamisha vipi Tutu, Mandela, Nyerere au Seif kutokuitumia haki yake ya kikatiba?
Raila and Azimio leaders defy police boss, hold Murang'a town hall meeting
Pamoja na ushupavu wa polisi kutaka kuuzuia mkutano huo, nani mwenye kumsimamisha Raila, wapi?
"Nobody can stop reggae." -- Lucky Dube.
Raila kwa mara nyimgine kafanya vitu vyake kwa mujibu wa katiba ya huko bila kujali nani anasema nini.
Kwetu tunaambiwa sisi ndiyo tumelala eti ya kwamba waliolala si kina Raila wa huku. Maajabu ya Mussa.
Porojo za nini ndugu zangu? Koleo na liitwe kwa jina lake.