#COVID19 Raila Odinga akutwa na COVID-19

Ukiangalia Habari za Kenya mida hii ni kwamba Raila Odinga umepatikana na Covid-19.

Nilicho jifunza wao wako wazi kabisa, sielewi kwa nini Tanzania huu ugonjwa unachukuliwa kama Gonorrhoea.

Huu ugonjwa ni ugonjwa wa aibu kwa Tanzania.
Hamia kwao kwenye uwazi
 
Sisi bado watu wanakimbia majibu ya vipimo hata malaria tu...type muda tutafika tu huko!
 
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga amethibitika kuwa na virusi vya Covid19; Daktari wake David Oluoch ametangaza.

Katika taarifa iliyotumwa kwenye vyombo vya habari Oluoch amesema Mheshimiwa Raila anaendelea na matibabu vizuri tu.

Kiongozi huyo wa upinzani nchini Kenya alilazwa siku ya Jumatano usiku akitokea Pwani kwa ziara ya kisiasa.
 
basi itakuwa hii ndo ile ya Nairobi hospital wakulungwa wakachanganya madesa wakasema ni No. 1
hapa sasa nmeelewa
 
Acha propaganda kijana, kwani si ni juzi tu Waziri wa Fedha wa Tanzania alitoka hadharani na kueleza umma kuwa amepona COVID-19, sasa hio ina tofauti gani na hii ya habari yako ya Raila?
 
Kabla ya hiyo korrona tuoretheshewe magonjwa yote alivyokuwa nayo ...ili tuanzie hapo....


.
.
.
.na umri utajwe.
.
.
.sio tunakimbilia hospital ...just to check for corona check also other attack......xxxxx
 
Hivi unajua maana ya Breaking News wewe?
Jambo limeanza kusambaa tangu mchana wewe ndiyo unaita Breaking News?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…