NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Wa kwenu nani?Huyu wa kwetu vipi?
Vipi kuhusu mzee kambochi?Katika taarifa yake ya habari ITV imrripoti kulazwa hospitali kwa Kiongozi mkuu wa upinzani Kenya...
Taifa la waoga.Katika taarifa yake ya habari ITV imrripoti kulazwa hospitali kwa Kiongozi mkuu wa upinzani Kenya...
Kipara cha koroshowWa kwenu nani?
Huyu wa kwetu vipi?
Unacheza na kifo hamna hasie kiogopa BBC swahili wana ofisi zao Nairobi hawawezi kuzusha habari nyeti kama hiView attachment 1722265
Au katekwa nyara na wajivuni fulani?Hapo ndipo waTanzania wote kabisa bila kujali vyama au tofauti za kiitikadi wanataka kujua huyu wa kwetu naye yupo wapi siku hizi na hali yake pia kama amechukua likizo ya mapumziko.
Hahahaaaa...... hahahaaaa..... Ufipa mmebaki na siasa za uchawi tu!Diversion hiyo....majitu majinga sana
Na hili jinga linalotamka "holoholo" linaeneza propaganda
Hamna kazi nyie wehu?
Vipi mwandishi hakufika kwenye wodi aliyolazwa huyu kichwa maji aliegoma kuvaa barakoa??Katika taarifa yake ya habari ITV imrripoti kulazwa hospitali kwa Kiongozi mkuu wa upinzani Kenya...
kwa story ilivyo huyu Odinga atakua anafanya kubadirisha upepo, coz pale hospital ilikua inasemekana pana ulinzi mkali. sasa ulinI mkali ulikua unauliziwa ni wa kumpinda nani?? sasa yeye kaingizwa kujibu swali hilo ionekane una mlinda yeye
Katika taarifa yake ya habari ITV imrripoti kulazwa hospitali kwa Kiongozi mkuu wa upinzani Kenya.
Mwakilishi wa ITV huko Nairobi alitembelea katika hospitali ya Nairobi na kumuonyesha Raila Odinga akiwa amelala huku akizungumza na ndugu zake kwa furaha.
Nayo familia ya Raila imesema ndugu yao amepimwa na hana Corona na anatarajiwa kuruhusiwa kesho.
Mtangazaji amesema Raila ni Kiongozi pekee wa kisiasa aliyelazwa hospitalini hapo.
Maendeleo hayana vyama!
JIWE!Wa kwenu nani?
mzee wa mihemko[emoji16][emoji16][emoji16].Diversion hiyo....majitu majinga sana
Na hili jinga linalotamka "holoholo" linaeneza propaganda
Hamna kazi nyie wehu?