Raila Odinga alazwa Nairobi Hospital

Raila Odinga alazwa Nairobi Hospital

Wenzetu wako very proactive sana. Hawatoi nafasi kwa false informers kabisa.

Tofauti kabisa na hapa kwetu.

IMG_20210309_211833.jpg
 
Huyu wa kwetu vipi?

Hapo ndipo waTanzania wote kabisa bila kujali vyama au tofauti za kiitikadi wanataka kujua huyu wa kwetu naye yupo wapi siku hizi na hali yake pia kama amechukua likizo ya mapumziko.

Tukumbuke wazee hawa Raila Odinga na John Magufuli ni marafiki wakubwa, sasa hizi tetesi au uvumi kuwa imetokea kibahati wakawepo sehemu moja jijini Nairobi Kenya inazidi kuleta shauku kutaka kujua ukweli.

Clip hii ya video hapa chini inaonesha jinsi ukaribu wao katika kila hali hapa Raila Odinga akiongozana na familia yake alikwenda Chato kumsalimia rafiki yake April 2016 na Raila Odinga kusema alifurahia kumtembelea rafiki yake Chato

11 April 2016

President Magufuli gives Raila a GRAND RECEPTION in Tanzania

 
kwa story ilivyo huyu Odinga atakua anafanya kubadirisha upepo, coz pale hospital ilikua inasemekana pana ulinzi mkali. sasa ulinI mkali ulikua unauliziwa ni wa kumpinda nani?? sasa yeye kaingizwa kujibu swali hilo ionekane una mlinda yeye
 
kwa story ilivyo huyu Odinga atakua anafanya kubadirisha upepo, coz pale hospital ilikua inasemekana pana ulinzi mkali. sasa ulinI mkali ulikua unauliziwa ni wa kumpinda nani?? sasa yeye kaingizwa kujibu swali hilo ionekane una mlinda yeye

Raila Odinga anasema alikwenda kucheki afya baada ya mizunguko mingi ya shughuli za kisiasa kona mbalimbali za Jamhuri ya Kenya kisha madaktari wakamwambia apumzike hospitali kutokana na fatigue / uchovu.

Sasa inakuwaje rafiki yake toka Tanzania naye isemwe na chombo kikubwa cha Nation.Afrika African leader admitted to Nairobi Hospital with Covid-19 kilicho chini ya wakurugenzi wazito wenye connection kibao na wahariri mahiri Nation Media Group Kenya chenye magazeti kama www.nation.co.ke, kituo cha television-tajwa NTV Kenya n.k kuwa yupo hapohapo hospitalini lakini imebaki kuwa uvumi hatuambiwi kama yupo Kenya au la hii inaleta gumzo kubwa ndani ya mitandao na vyombo vya habari ulimwenguni kote.
 
Katika taarifa yake ya habari ITV imrripoti kulazwa hospitali kwa Kiongozi mkuu wa upinzani Kenya.

Mwakilishi wa ITV huko Nairobi alitembelea katika hospitali ya Nairobi na kumuonyesha Raila Odinga akiwa amelala huku akizungumza na ndugu zake kwa furaha.
Nayo familia ya Raila imesema ndugu yao amepimwa na hana Corona na anatarajiwa kuruhusiwa kesho.

Mtangazaji amesema Raila ni Kiongozi pekee wa kisiasa aliyelazwa hospitalini hapo.

Maendeleo hayana vyama!

Kenya wastaarabu sana. Wanaheshimu protokali za wakulu. Hakuna haja ya kusema mengi.
 
Huyu jamaa stress za kutaka uraisi zitamtoa roho,
Nasa imevurugika,Ruto na hustler nation wanampa mawazo,maswaiba zake Kalonzo msyoka,Musalia mdavadi,Wetangula,wote wamemkimbia,
Inawezekana hata Raisi Uhuru,anaweza asimuunge mkono kwenye uraisi 2022,!
 
Diversion hiyo....majitu majinga sana

Na hili jinga linalotamka "holoholo" linaeneza propaganda

Hamna kazi nyie wehu?
mzee wa mihemko[emoji16][emoji16][emoji16].


ukae kwa kukituliza,subiri kumwona magufuli akikukera kwa mara nyingi tena.
 
Back
Top Bottom