Raila Odinga Amfata Ikulu Rais Museveni Kuhusu Tanzania

Raila Odinga Amfata Ikulu Rais Museveni Kuhusu Tanzania

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,320
Aliyekuwa waziri mkuu wa kenya Bw Raila Odinga ameshauri Rais Yoweri Museveni wa Uganda kuanza mazungumzo na Serikali ya Tanzania ili kutatua kasoro zilizojitokeza katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Bwana Odinga amemshauri Rais museveni kufanya mazungumzo na viongozi wa Tanzania katika mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika mjini Kampala mwisho wa mwezi huu.

Ushauri huo ameutoa katika mazungumzo yake na Museveni yaliyofanyika Ikulu nchini uganda.

Habari kamili inapatikana kwenye hiyo Link Chini
Standard Digital News - Raila Odinga and President Yoweri Museveni to open talks with Tanzania over EAC
 
Back
Top Bottom