Raila Odinga anaumia kwa sababu alibadilisha Katiba!

Raila Odinga anaumia kwa sababu alibadilisha Katiba!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Alipigania kwa kumtumia Muzungu kuhakikisha Kenya inapata Katiba mpya lkn lengo lake halikuwa kwa manufaa ya nchi bali lilikuwa kupata Katiba ambayo ingeweza kumpa Uraisi kwa kuvunja vunja Power ya Wakikuyu lkn alisahau kwamba Wakikuyu ni Mafia, wakamfix na hiyo hiyo Katiba yake mpya na bado wanatawala nchi!

Ushauri wangu kwa Raila Odinga, Wakikuyu huwawezi, hawa walishakutangulia walikabidhiwa nchi na Muzungu hivyo njia pekee kwako ni kuwafikia na kuomba upatanishi wakikukubali hapo ndipo unapoweza kuwa Raisi wa Kenya, kinyume na hapo Uraisi sahau.

Chanzo cha infos zangu kuhusu Kenya ni Demu wangu, ...
 
mengine ulioeleza yana kaukweli fulani... lkn ulipokuja kuharibu ni pale ulipomtaja demu wako kama chanzo cha habari ndo ukaharibu kabisa.
 
Back
Top Bottom