Raila Odinga apinga wanaoshinikiza Ruto ajiuzulu Urais

Black Butterfly

Senior Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
130
Reaction score
368
Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko yoyote katika Serikali.

Akizungumza na Wabunge wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM), amesema kama Ruto ataondolewa, Jeshi la Kenya (KDF) linaweza kushika nchi au Naibu Rais Rigathi Gachagua atachukua madaraka na atatekeleza sera zile zile zinazopigiwa kelele.

Ameongeza "Ni wakati wa shida kama huu ambapo nchi inahitaji kuzungumza. Hatufanyi hivyo ili kumwokoa Ruto. Tunafanya hivyo kuiokoa Kenya. Kampeni ya #RutoMustGo haiwezi kuwa mwisho sahihi."

Opposition leader and African Union Commission (AUC) chairperson hopeful, Raila Odinga has made a defiant stand, dismissing calls for President William Ruto to step down, amidst escalating pressure and internal opposition turmoil.

Addressing members of the Orange Democratic Movement (ODM) Parliamentary Group, Odinga asserted that removing Ruto would only result in Deputy President Rigathi Gachagua assuming power and perpetuating the same detrimental policies.

“Ruto goes, then what? Ruto may go then Gachagua takes over [to continue] implementing bad policies. Ruto can also say ‘I am tired, let the [military] generals take over. Then the country begins to go through what Egypt went through after Tahrir Square. ‘Ruto must go’ cannot be an end,” Odinga charged.

Adding, “It’s at times of crisis like this that a country needs to talk. We are not doing it to save Ruto. We are doing it to save Kenya. Generals don’t have teargas. They don’t have water cannons. They have bullets.”

Odinga’s firm stance points to a deepening rift within the opposition, particularly within the Azimio la Umoja One Kenya Coalition.

The coalition’s members, including ODM, are increasingly divided, with some factions gravitating towards Deputy President Gachagua in anticipation of a potential pre-election alliance in 2027, thereby isolating Odinga.

1721287842050.png

KENYANS
 
Hakika Odinga ni mpinzani wa kweli mwenye nia njema na nchi yake. Kweli Ruto akiondoka atakayefuata ataendeleza sera zilezile ambazo mh. Ruto anazozipambania, kwanza ameshafanya reforms nyingi na za kizalendo kabisa juu ya wananchi wake.
 
Sidhani kama Raila Odinga yupo sahihi.

Gen Z wapo sahihi kudai kwamba Ruto aondoke madarakani, wanataka Rais Ruto aondoke madarakani pamoja na sera zake zote kabisa ambazo Wananchi wanazipinga ili aje Rais mwingine mwenye sera zingine ambazo ni nzuri. Kinachopingwa ni Ruto, Utawala wake na Sera zake mbaya ambazo Wananchi hawataki.
Hata kama atakuja Mtawala mwingine ambaye naye atakuwa na Sera zake mbaya zisizofaa, Wananchi pia wataendelea kumpinga na yeye, hadi hapo atakapopatikana Mtawala mwenye Sera nzuri ambazo zinakubalika na Wananchi.
 
Kiongozi wa Upinzani chini ya Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga amekosoa shinikizo la Waandamaji wanaotaka Rais William Ruto ajiuzulu akieleza hatua hiyo haitakuwa na mabadiliko yoyote katika Serikali.

Akizungumza na Wabunge wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM), amesema kama Ruto ataondolewa, Jeshi la Kenya (KDF) linaweza kushika nchi au Naibu Rais Rigathi Gachagua atachukua madaraka na atatekeleza sera zile zile zinazopigiwa kelele.

Ameongeza "Ni wakati wa shida kama huu ambapo nchi inahitaji kuzungumza. Hatufanyi hivyo ili kumwokoa Ruto. Tunafanya hivyo kuiokoa Kenya. Kampeni ya #RutoMustGo haiwezi kuwa mwisho sahihi."

Opposition leader and African Union Commission (AUC) chairperson hopeful, Raila Odinga has made a defiant stand, dismissing calls for President William Ruto to step down, amidst escalating pressure and internal opposition turmoil.

Addressing members of the Orange Democratic Movement (ODM) Parliamentary Group, Odinga asserted that removing Ruto would only result in Deputy President Rigathi Gachagua assuming power and perpetuating the same detrimental policies.

“Ruto goes, then what? Ruto may go then Gachagua takes over [to continue] implementing bad policies. Ruto can also say ‘I am tired, let the [military] generals take over. Then the country begins to go through what Egypt went through after Tahrir Square. ‘Ruto must go’ cannot be an end,” Odinga charged.

Adding, “It’s at times of crisis like this that a country needs to talk. We are not doing it to save Ruto. We are doing it to save Kenya. Generals don’t have teargas. They don’t have water cannons. They have bullets.”

Odinga’s firm stance points to a deepening rift within the opposition, particularly within the Azimio la Umoja One Kenya Coalition.

The coalition’s members, including ODM, are increasingly divided, with some factions gravitating towards Deputy President Gachagua in anticipation of a potential pre-election alliance in 2027, thereby isolating Odinga.

KENYANS
Well said..
If opp leaders come with the rulling then GenZ gets fckd.
 
Good thinking
 
Back
Top Bottom