Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 18,216
- 12,774
Inahuzunisha sana pale watu wanakuwa na formed opinion and generalisation kuhusu jambo fulani ambayo hawana uhakika nacho. Huwa nachekenga tu nikiona watanzania wakisema wakenya wanakufa njaa wakati wengi wamezaliwa huku na kufa bila kushuhudia njaa ni nini. Wasichokijua ni kwamba kuna sehemu nyingi sana watu hulima hadi kuwa na surplus ya chakula ambayo in most cases uharibikia shambani (but I blame the government on this).Kwenye dunia ya sasa, ambapo kila info inapatikana kwa urahisi, huo mimi huwa nauita upumbavu. Kama sio upumbavu basi ni kimbembele na ujuaji mwingi. Naelewa kwamba hata mtu mwenye PhD zake hawezi akajua kila kitu, kilicho chini ya jua.
Ila mimi huwa nina mazoea ya kufanya karisechi, angalau hata kadogo tu. Kabla nitupie maoni yangu, kwenye mjadala, ambao unazungumzia jambo ambalo sina uhakika kulihusu. Kando na hapo ustaarabu ni kubaki tu kimya, ili ujifunze mapya.
As you've put it, doing some research can go a long way in knowing the truth, especially if you aren't so sure about something