Raila Odinga ashinda kituo cha Polisi Pangani

Kanyunyu

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
335
Reaction score
495
NASA LEADERS IN A SHOW OF SOLIDARITY WITH HON. JOHNSTONE MUTHAMA HAVE SPENT THE DAY WITH HIM AT PANGANI POLICE STATION FOLLOWING HIS ARREST ON CHARGES OF HATE SPEECH

WHY MUTHAMA HAS BEEN ARRESTED:

Maneno ya uchochezi :

Muthama. "Shida kuu ya nchi hii ni mlevi mmoja na mwizi mmoja.

Kwa sababu alizaliwa akapata pesa iko na picha ya baba yake, akapata baba yake amemuibia mashamba ambayo hata hatujui ni acre ngapi, ndio sasa anatutishatisha! Kijana nakwambia, hii nchi si ya mama yako!

Ndio mjue hana akili, saa nne asubuhi yeye amekunywa pombe na amefuta ile kitu ingine! Halafu anafanya macho inakuwa kama ile shati yake.

Wakiiba hii...wakiiba hii...wakiiba hii?

Tutaenda barabara ingine."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moses Kuria naye amesekwa ndani over hate speech huyu amesema nini?
 
Huko si Wana demokrasia imekuwaje tena?

Mwandishi amekosa kusema kwamba Moses Kuria, mbunge rafiki wa Uhuru pia amekamatwa.
Wanakamatwa pande zote mbili. Serikali na upinzani, as long as wanatumia matamshi ya uchochezi vita.
 
Namaanisha kwamba kwenye demokrasia unaruhusiwa kusema chochote.
 
There is freedom of speech. Freedom after speech si guaranteed.
Tuko na sheria zinazo angalia 'hate speech'. Yaani huwezi tusi watu wa jamii fulani hadharani, au kusema wauwawe na kadhalika.
 
NASA LEADERS IN A SHOW OF SOLIDARITY WITH HON. JOHNSTONE MUTHAMA HAVE SPENT THE DAY WITH HIM AT PANGANI POLICE STATION FOLLOWING HIS ARREST ON CHARGES OF HATE SPEECH

WHY MUTHAMA HAS BEEN ARRESTED:

Maneno ya uchochezi :

Muthama. "Shida kuu ya nchi hii ni mlevi mmoja na mwizi mmoja.

Kwa sababu alizaliwa akapata pesa iko na picha ya baba yake, akapata baba yake amemuibia mashamba ambayo hata hatujui ni acre ngapi, ndio sasa anatutishatisha! Kijana nakwambia, hii nchi si ya mama yako!

Ndio mjue hana akili, saa nne asubuhi yeye amekunywa pombe na amefuta ile kitu ingine! Halafu anafanya macho inakuwa kama ile shati yake.

Wakiiba hii...wakiiba hii...wakiiba hii?

Tutaenda barabara ingine."

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Maneno kama haya ndio yanafanya NASA inatupa kura na wafuasi. Hakuna sera wanazouza ,manifesto yao ni afterthought na siasa zao ni uongo ,uvumi ,matusi na chuki tupu.
 
NASA LEADERS IN A SHOW OF SOLIDARITY WITH HON. JOHNSTONE MUTHAMA HAVE SPENT THE DAY WITH HIM AT PANGANI POLICE STATION FOLLOWING HIS ARREST ON CHARGES OF HATE SPEECH

WHY MUTHAMA HAS BEEN ARRESTED:

Maneno ya uchochezi :

Muthama. "Shida kuu ya nchi hii ni mlevi mmoja na mwizi mmoja.

Kwa sababu alizaliwa akapata pesa iko na picha ya baba yake, akapata baba yake amemuibia mashamba ambayo hata hatujui ni acre ngapi, ndio sasa anatutishatisha! Kijana nakwambia, hii nchi si ya mama yako!

Ndio mjue hana akili, saa nne asubuhi yeye amekunywa pombe na amefuta ile kitu ingine! Halafu anafanya macho inakuwa kama ile shati yake.

Wakiiba hii...wakiiba hii...wakiiba hii?

Tutaenda barabara ingine."

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa hii ingefanywa Tanzania si Uhuru Kenyatta angeitwa DIKTETA au DIKTETA UCHWARA?

Lakini hii imechinjwa na shehe. Upinzani TZ kimyaaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom