Kanyunyu
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 335
- 495
NASA LEADERS IN A SHOW OF SOLIDARITY WITH HON. JOHNSTONE MUTHAMA HAVE SPENT THE DAY WITH HIM AT PANGANI POLICE STATION FOLLOWING HIS ARREST ON CHARGES OF HATE SPEECH
WHY MUTHAMA HAS BEEN ARRESTED:
Maneno ya uchochezi :
Muthama. "Shida kuu ya nchi hii ni mlevi mmoja na mwizi mmoja.
Kwa sababu alizaliwa akapata pesa iko na picha ya baba yake, akapata baba yake amemuibia mashamba ambayo hata hatujui ni acre ngapi, ndio sasa anatutishatisha! Kijana nakwambia, hii nchi si ya mama yako!
Ndio mjue hana akili, saa nne asubuhi yeye amekunywa pombe na amefuta ile kitu ingine! Halafu anafanya macho inakuwa kama ile shati yake.
Wakiiba hii...wakiiba hii...wakiiba hii?
Tutaenda barabara ingine."
Sent using Jamii Forums mobile app