Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

Mzee wako wa maandamano Odinga nasikia ameufyata huko Kenya.🤣

FsunSbnWIAMlWg2.jpeg


Labda kiingereza hukuelewa. Tafsiri ya kiswahili ni hiyo upate kujua aliyeufyata.
 
Tanzania mazuzu wengi sana ebu angalia leo kuna wajinga wanalilia jitu lilokuwa litesaji na liuwaji na liloona wapinzani kama ni mbwa mwitu tu wasiotakiwa kuonewa huruma na hawastahili haki yoyote liliona nchi ni mali yake binafsi na kikundi chake tu.
Kama unaitwa kijast Basi ww Ni fool namba 1 ndio mwazilishi wa mazuzu Ila watanzania ni Watu smartsana ispokuwa ww Fara.
 
Back
Top Bottom