Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

Raila Odinga atangaza kusitisha maandamano

Hatimaye maandamano yasitishwa. Somo limeeleweka. Ruto kaona umuhimu wa kuongea.

Sisi tuendelee kusubiria maembe kwenye mnazi.

Kwa "sie" unamaanisha kina nani?

Tanzania wanasiasa wetu walio madarakani na upinzani wanaongea na kukubaliana bila maandamano. Aliutibua mpango huo mwendazake, umerudi tena kwa kasi, huyaoni?
 
Kwa "sie" unamaanisha kina nani?

Tanzania wanasiasa wetu walio madarakani na upinzani wanaongea na kukubaliana bila maandamano. Aliutibua mpango huo mwendazake, umerudi tena kwa kasi, huyaoni?

"Sie" ninamaanisha waumini wa haki sawa ikiwamo kwenye meza ya mazungumzo.

“In view of the foregoing, we stand down our demonstrations for Monday but in doing so we want to emphasise that we reserve the right to call for demonstrations should this process bear no fruit. Should there be no meaningful engagement or response from Hon Ruto to our counter-offer, we’ll resolve to resume our demonstrations after one week."
 
Wewe mbona una mambo ya kipuuzi puuzi?
Screenshot_20230403-200645.jpg
 
Aisee. Raila sio poa, nazikumbuka enzi za Kivuitu alikiwasha hatarii.
 
Back
Top Bottom