Raila Odinga atangaza ndio ulikua mwisho wake wa kutafuta urais

Raila Odinga atangaza ndio ulikua mwisho wake wa kutafuta urais

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Amesema hatohangaika tena kutafuta urais, ameachia uwanja wengine wapambane.
Japo kwa sasa amesema hatoachia mapambano dhidi ya matokeo ya kura ya juzi ambayo ameendelea kutuhumu kwamba yalichakachuiwa, ameahidi kuzingua hadi kieleweke, mojawapo wa cheche zake ni kuwaamrisha wafuasi wake wasiende kwenye shughuli zao za kazi, na pia wasiwe wanasoma magazeti ya Nation Media.

Kabla ya uchaguzi aliwaamrisha wafuasi wake wasihusike kwenye ngono usiku wa kuamkia uchaguzi, maana ngono huleta mikosi.



1615895.jpg

NASA chief Raila Odinga addresses supporters in Nairobi's Mathare slums, August 13, 2017. /JACK OWUOR

Raila Odinga has declared he will never be a presidential candidate again following the August 8 defeat by President Uhuru Kenyatta.

IEBC's official announcement on Friday named Uhuru winner with 1.4 million votes more than the Opposition leader's.

Raila has refused to concede and called for a work boycott on Monday, saying the National Super Alliance will make a major announcement on Tuesday.
The Financial Times reported Raila's declaration following his interview with the news agency on Sunday.

"I’m not going to be a candidate again,” he said. “We just want Kenyans to know what happened, what the whole world is not understanding is happening.”

The Opposition chief vied and lost in 1997, 2007 and 2013 and has alleged rigging but he noted in the interview that he is not trying to take the presidency by extra-constitutional means.

"It is not about me. It’s not about Raila Odinga," he said. "...there’s no point in people going to elections in the future, queuing for hours to vote or running around for months campaigning. At the end of the day it’s the computer in the national tallying centre that’s making the decisions."

There has been growing international pressure for Raila to concede defeat, especially after observers said the election was largely free, fair and credible.

Their united stance leaves him isolated if he chooses to maintain the allegations of election fraud and proclaim himself president.

The Opposition leader disputes the results saying it was rigged but he has not provided documentary evidence.

In the FT interview at his home in Karen, Nairobi, he said he will give "compelling evidence".
“We will show the kind of charade the whole world has been treated to," he said adding the United Nations should audit the election result.

He also said: “With the experience of what happened to Chris Msando they were very frightened."

Msando, who was IEBC's acting ICT manager and in charge of the KIEMS, was murdered in what Opposition leaders claim had to do with the election.

International investigators FBI 9USA) and Scotland Yard (UK) offered to help with the investigation.
Protests erupted in a few of Raila's strongholds in Nairobi and Kisumu following Uhuru's win. A 10-year-old girl was among people shot dead as protests intensified in Mathare, Kibera and parts of Nyanza region on Saturday.

Kenyans are fearing a repeat of the violence that followed 2007's disputed election. Around 1,200 people were killed then and 600,000 displaced after Raila called for political protests that sparked ethnic violence.

Regional trade was paralysed and Kenya's economy - the region's biggest - took years to recover.

Read: Pressure grows on Raila to concede election defeat

The country was largely quiet on Sunday following the violence and a rights group said there have been at least 24 deaths and claims police are attacking the public but authorities have denied this.

On Sunday, State House spokesman Manoah Esipisu asked people to go back to work and said police will handle illegal protests.
I won't stand for president again, Raila says after Uhuru defeat
 
Wacha aende kabisa Raila go away.Hata sisi tungetaka kuona mwisho wa siasa zake za chuki,uharibifu wa mali ,uchochezi na uongo wa kupindukia.Why ruin a whole nation bcuz of one crazy selfish man?
 
If voting had its meaning ascribed to it,then,He had all the rights to protest by all means if the other part play fouls.
 
..mojawapo wa cheche zake ni kuwaamrisha wafuasi wake wasiende kwenye shughuli zao za kazi, na pia wasiwe wanasoma magazeti ya Nation Media.

A truly defeated man. Uhuru Kenyatta wala hatokosa usingizi kwa 'upuuzi'' kama huu. Sanasana hao wanaogoma kwenda kazini watafukuzwa kazi tu.

Kenya si wanaruhusu matokeo ya Urais kupingwa mahakamani? Kwanini asiende kule na furushi la matokeo yote ya vituoni? what happened to his numerous Tallying Centers? tuliambiwa nyingine ilikuwa pale Chato🙂
 
Leo BBC World Service wametangaza kwamba watu wamempotezea Raila Odinga na wameenda kazini.

Wakifukuzwa kazi Raila atawapa kazi?

Raila kaonyesha hakufaa kuwa rais na Kenya imefanya uamuzi makini kumbakisha Uhuru Kenyatta kuwa rais.

Ingawa wote Raila Odinga na Uhuru Kenyatta ni products of nepotism and not the best Kenya has to offer.

But at least Kenyatta is not a sore loser, he lost the chance to be president before and did not direct chaos.

Raila alitakiwa kustaafu siasa zamani sana. Scratch that, alitakiwa kutoingia kabisa kwenye siasa.
 
Why National Media??😱😱😱😱
Ndoto ya Wajaluo kushika ikulu imeyeyuka kabisa daah
 
Aiss
Watakuwa walipiga ma-game ndo maana kashindwa

Sent from my TV
 
He should retire from active politics maana sasa akili yake inaelekea kua kama ya Mugabe....only ignorant naive fools can listen n not go to work...Kibra ndi mtaji wake...Joho na kwingineko wanasema NO to hoolignasim...
 
NNa jambo asilolijua ni kwamba kulitaja gazeti la Nation lisinunuliwe ni kuwapa kiki...iko hivi curiosity killed the cat...watu wengi watalinunua kutaka kujua ni kipi hiki Rao hataki wajue...thanks to him more copies of Nation will be sold...
Kuna moja lilifungiwa hapa dar miaka fulani sasa kabla ya kufungiwa walikua wanauza kopi kwenye 40,000 na lilivyofungiwa kwa muda na baadae kufunguliwa wakawa wanagonga around kopi 100,00...mentality ya Odinga imeshuka kiasi sasa anaanza kuwashambulia wafanyabiashara...
 
Back
Top Bottom