Raila Odinga atashikwa muda si mrefu!

Raila Odinga atashikwa muda si mrefu!

Ni uhakika kabisa wanamlia timing tu na ni swala la muda kabla hamjasikia wamemtia nguvuni, hii itatokea Raila apende asipende, kama wamemkamata aliyemuapisha iweje aliyekula kiapo awe huru? Hivyo ninaamini kabisa watamshika Raila Odinga na kumfungulia mashitaka, sasa hivi wanamsubiri afanye kosa moja tu halafu wamshike, ...
Je asipofanya hilo kosa?
Kwani Raila amejificha?
 
Raila yupo Kenya bana, jana jioni ameongea na wanahabari akiwa na vigogo wenza wa NASA, lakini hawakuwa wanaeleweka. Jamaa wamejawa na tumbo joto si mchezo, hadi Kalonzo, Mr. Tikitimaji, alikuwa anatiririkwa na machozi akijaribu kuwaeleza wafuasi wao kwanini hakuja bustani ya Uhuru Park kuapishwa. Eti alikuwa 'under house arrest' 😀 Usibonyeze kidude, afrosinema continues shortly.....
Kalonzo n water melon tu bure sana
Huyo jamaa muoga kama wanaume wa dsm
 
Uhuru keshakomaa kisiasa kaona raila ni joka la kibisa halina madhara kama alivyoamua amuache aapishwe basi atamwacha ili Raila aendelee kuonekana comedy

Kwanza walikuwa wanamngoja ajiapishe halafu, na kwa sababu ana jeshi la NRM ambalo limewekwa kwenye government gazette kuwa ni haramu na halina tofauti na Boko Haram, ISISI, ADC ya Uganda, Alshabaab, na kujitambulisha nalo, ni siku inasubiriwa akamatwe na kumswaga Lodwar au Kamiti maximum prison! Jamaa kaunda NRM=National Resistant Movement(Army)!! Kamanda wake ni General Miguna na wapangaji ni Ndii na Wanjigi!!! Lakini naona Ndii ni shushushu wa ila Raila hajagundua hilo.
 
Naona umeelewa tactic za rais Uhuru Kenyatta, kilichobaki tu ni kifo cha Raila kisiasa. Alivoachiwa ajiapishe bila bughudha, ilikuwa ni kama tu ule mtego wa kumnasa kanga.
Bila bugudha? who told you that.....Raila ni moto mwingine. Wafuasi wake ni wehu hawasikii....wataiharibu Kenya kwa mambo ambayo yangeweza kuzungumzika.
Kwanini amezifungia KTN na Citizen TV and radio? hawajafanya makosa, zimefungiwa kabla ya kurusha matangazo ya kuapishwa.....assumptious.
Kwanini wamewakamata viongozi wengine?

Japo sio mnazi wa Raila, ila ukweli lazima usemwe tu. hajatenda kosa, labda wamfanye mbaya kama sizonje anavyowafnyia watu...wasiokulikana wafanye yao.
 
Bila bugudha? who told you that.....Raila ni moto mwingine. Wafuasi wake ni wehu hawasikii....wataiharibu Kenya kwa mambo ambayo yangeweza kuzungumzika.
Kwanini amezifungia KTN na Citizen TV and radio? hawajafanya makosa, zimefungiwa kabla ya kurusha matangazo ya kuapishwa.....assumptious.
Kwanini wamewakamata viongozi wengine?

Japo sio mnazi wa Raila, ila ukweli lazima usemwe tu. hajatenda kosa, labda wamfanye mbaya kama sizonje anavyowafnyia watu...
Sijakuelewa, unabisha kwamba rais U.K hakumuacha Raila ajiapishe bila wasiwasi wowote pale bustani ya Uhuru Park? Au unadhani polisi wa Kenya ndo walikuwa wote wameenda livu? Unasema Raila hakutenda kosa lolote? Mbona kama ni ubatizo wa kilokole ambao ulikuwa unafanyika hapo Uhuru Park, Kalonzo ni vigogo wenzake kwenye NASA si wangefika tu? We bana acha kukariri mambo ambayo huyaelewi hata kidogo!
 
Back
Top Bottom