Raila Odinga awataka wafuasi wa NASA wasiende kazini kesho

uchaguzi umeisha wakenya wajenge nchi yao sasa
 
Screenshot_20170813-172437.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama haki yake imeporwa m namuunga mkono aitafute tu kwa juhudi zote maana aliyeipora ndio kayataka yote haya ckua upande wa odinga bt kwa hili mzee km unaona umeingiliwa kwny haki yako jitahidi upambane na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app

Well said mkuu, sijui kwa nini baadhi ya members wanambeza Raila? Ukichunguza Waswahili wengi wanao msema vibaya Odinga utakuta ni wale wenye chuki binafsi dhidi ya JPJM!!!

Kila mtu mwenye akili timamu anajua Odinga alichezewa rafu katika uchaguzi huu, uthibitisho ni kuuwawa kwa Mkurugenzi Mkuu aliye kuwa ana simamia mission critical ICT system, mtambo huo ndiyo kila kitu, mtu akifanikiwa kuhu-hack ndio basi tena - Uhuru na kundi lake walijua sana ukweli huo, hivyo kuuwawa kwa msimamizi mkuu wa tehama hasa baada ya yeye kusema hakuna Mkenya yeyote anayeweza kuingilia system hiyo na kufanikiwa kuiba kura, aliongezea kwamba awezi kumwambia yoyote jinsi system hhiyo inavyo fanya kazi labda wamkate mkono ndio anaweza kutoa siri, sasa nini kilifuatia baada ya kutoa kauli hiyo kwenye Luninga - jamaa walituma mwanamke ambaye alikuwa rafiki yake wakawawekea mtego na kuwauua wote, hawakuishia hapo walimtesa na baadae kukata mkono wake - what does that tell you about matokeo ya uchaguzi tunao ushuhudia huko Kenya - kuna tatizo si bure.

Mimi nashangazwa sana kwa maoni ya waangalizi wa upigaji kura kutoka nje, kwa nini kuuwawa kwa mtu anaye simamamia roho/brain ya kutoa takwimu kamili ya upigaji kura naona waangalizi awakuchukulia tukio hilo ovu seriously - mimi nilitegemea wangesema kura zirudiwe kwa kutumia Sytem mpya yenye wasimamizi kutoka nje - hilo alikufanyika badala yake wanalazimisha Raila eti akubali kushindwa - hii inaleta picha gani kuhusu chaguzi barani Africa? Ni aibu tupu.
 
Ukipenda madaraka aise kazi mno, wafikiri na wenzako wako kama wewe, yeye anauhakika wa kula vinono, anatembea na walinzi, analindwa home, ana ma VX, wahudumu, anaishi maisha ya kitajiri kabisa, halafu anataka wenzake wakose kazi?!
Kweli "Miafrika ndivyo tulivyo"! Huyu punguani kama wale manabii feki utashangaa anapata wafuasi pia! Uzuzu kabisa..
 
Africa umaskini tu chaguzi ni zuga tu.wengine hujitngazia ushindi hata kabla mechi.
 
Raila Odinga nae tumemchoka sasa. Afrika ya Mashariki tumechelewa sana Kimaendeleo hivyo inatubidi sasa tushikamane hasa Kiumoja tuweze kwenda mbele. Kwani Raila Odinga alizaliwa na kuhakikishiwa na Mwenyezi Mungu kuwa kabla hajafa / hajafariki atakuwa Rais wa Kenya?

Kenya ni Kubwa kuliko Mtu yoyote.
Mama yake alimkoshea mraisi alipozaliwa.[emoji3][emoji16][emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said mkuu, sijui kwa nini baadhi ya members wanambeza Raila? Ukichunguza Waswahili wengi wanao msema vibaya Odinga utakuta ni wale wenye chuki binafsi dhidi ya JPJM!!!

Kila mtu mwenye akili timamu anajua Odinga alichezewa rafu katika uchaguzi huu, uthibitisho ni kuuwawa kwa Mkurugenzi Mkuu aliye kuwa ana simamia mission critical ICT system, mtambo huo ndiyo kila kitu, mtu akifanikiwa kuhu-hack ndio basi tena - Uhuru na kundi lake walijua sana ukweli huo, hivyo kuuwawa kwa msimamizi mkuu wa tehama hasa baada ya yeye kusema hakuna Mkenya yeyote anayeweza kuingilia system hiyo na kufanikiwa kuiba kura, aliongezea kwamba awezi kumwambia yoyote jinsi system hhiyo inavyo fanya kazi labda wamkate mkono ndio anaweza kutoa siri, sasa nini kilifuatia baada ya kutoa kauli hiyo kwenye Luninga - jamaa walituma mwanamke ambaye alikuwa rafiki yake wakawawekea mtego na kuwauua wote, hawakuishia hapo walimtesa na baadae kukata mkono wake - what does that tell you about matokeo ya uchaguzi tunao ushuhudia huko Kenya - kuna tatizo si bure.

Mimi nashangazwa sana kwa maoni ya waangalizi wa upigaji kura kutoka nje, kwa nini kuuwawa kwa mtu anaye simamamia roho/brain ya kutoa takwimu kamili ya upigaji kura naona waangalizi awakuchukulia tukio hilo ovu seriously - mimi nilitegemea wangesema kura zirudiwe kwa kutumia Sytem mpya yenye wasimamizi kutoka nje - hilo alikufanyika badala yake wanalazimisha Raila eti akubali kushindwa - hii inaleta picha gani kuhusu chaguzi barani Africa? Ni aibu tupu.

wewe na raila akili zenu hazipishani, eti alichezewa rafu, uthibitisho wako na raila ni kuuwawa kwa bosi wa ICT ndan ya IEBC!! duh!
 
Mjinga kweli kweli.
Fact 1: Kura ya Kenya sio electronic. Transmission of results ndio electronic.
Fact 2: Hii system ya transmission iliwekwa kwa sababu ya tetesi za Raila.
Fact 3: Transmission system is only for purposes of transparency. Yaani, haiaffect calculation ya results.
Fact 4: Hesabu ya mwisho inayotambulika kisheria ilifanywa physically. Yaani Form 34Bs kutoka maeneo bunge yote ililetwa Nairobi na kuhesabiwa.
 
Raila anasema eti umoja wa mataifa, U.N, wachunguze kura ZAKE zilivoibiwa! 😀 Huyu mzee ameanza kuchizi kabisaa, na bado! Hehe!
 
wewe na raila akili zenu hazipishani, eti alichezewa rafu, uthibitisho wako na raila ni kuuwawa kwa bosi wa ICT ndan ya IEBC!! duh!

Mkuu nikwambie kitu? Tatizo lako ni ukosefu wa malezi bora ndio maana pr yako unapo address binadamu wenzako hiko highly skewed!!! Kama huna maoni mbadala just shut your face, will you? Wewe una moral Authority gani ya ku question my analytical mind - are you normal?

Kama ungekuwa na walaona uelewa wa fani ya ICT usinge shangaa/question maoni yangu, ungejua tu kwamba kuteswa na kukatwa mkono kwa Mkurugenzi wa ICT ulikuwa na lengo moja, nalo ni kumlazimisha muhusika awatajie: Admin User name na Password za kuwezesha waarifu kuingilia System na kuifanyia usanii wa kuhakikisha gap ya kura inakuwa maintained regardless ya idadi ya raia wanao kuja kupiga kura vituoni - wanaweka a dummy sub-programm/routine ya kufanikisha usanii huo, waulize wenye weledi wa kucode dbase usikie watakwambia nini?
 
Well said mkuu, sijui kwa nini baadhi ya members wanambeza Raila? Ukichunguza Waswahili wengi wanao msema vibaya Odinga utakuta ni wale wenye chuki binafsi dhidi ya JPJM!!!

Kila mtu mwenye akili timamu anajua Odinga alichezewa rafu katika uchaguzi huu, uthibitisho ni kuuwawa kwa Mkurugenzi Mkuu aliye kuwa ana simamia mission critical ICT system, mtambo huo ndiyo kila kitu, mtu akifanikiwa kuhu-hack ndio basi tena - Uhuru na kundi lake walijua sana ukweli huo, hivyo kuuwawa kwa msimamizi mkuu wa tehama hasa baada ya yeye kusema hakuna Mkenya yeyote anayeweza kuingilia system hiyo na kufanikiwa kuiba kura, aliongezea kwamba awezi kumwambia yoyote jinsi system hhiyo inavyo fanya kazi labda wamkate mkono ndio anaweza kutoa siri, sasa nini kilifuatia baada ya kutoa kauli hiyo kwenye Luninga - jamaa walituma mwanamke ambaye alikuwa rafiki yake wakawawekea mtego na kuwauua wote, hawakuishia hapo walimtesa na baadae kukata mkono wake - what does that tell you about matokeo ya uchaguzi tunao ushuhudia huko Kenya - kuna tatizo si bure.

Mimi nashangazwa sana kwa maoni ya waangalizi wa upigaji kura kutoka nje, kwa nini kuuwawa kwa mtu anaye simamamia roho/brain ya kutoa takwimu kamili ya upigaji kura naona waangalizi awakuchukulia tukio hilo ovu seriously - mimi nilitegemea wangesema kura zirudiwe kwa kutumia Sytem mpya yenye wasimamizi kutoka nje - hilo alikufanyika badala yake wanalazimisha Raila eti akubali kushindwa - hii inaleta picha gani kuhusu chaguzi barani Africa? Ni aibu tupu.
Ungekuwa unahifahamu vizuri Kenya na makabila yake na kampeni zinavyo kuwa husingeyaandika kama ulivyo andika hapo juu. Mjaluo hawezi tarajia ushindi wa urais kama hajaungwa mkono na kwa kiwango fulani na jamii kubwa ya Wakikuyu na majirani zake Wakalenjin. Huyu jamaa akishindwa anadai kaibiwa. Safari hii kuna maana hata mawakala wote wa chama chake wameshiriki kumwibia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom