Raila Odinga falls from dais in Malindi, takes down other CORD politicians who were with him

Raila Odinga falls from dais in Malindi, takes down other CORD politicians who were with him

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672

Hii imetokea leo. What does this mean?

Cord leader Raila Odinga is reportedly nursing injuries after he was injured during a recent trip to Mombasa County.

Odinga was addressing his supporters when a dais he was speaking on collapsed and leaders fell to the ground.
 
Jinsi alivyomaliza hiyo sentensi ya mwisho na uhalisia wa tukio ni kama mchezo wa kuigiza.
 
get well soon jembe, ili uje uyatumbue majipu yaliyoota kwa uhuru.
 
Hivi huyu baba baada ya tukio la kuanguka afya yake ikoje? Isije kuwa wapinzani wake wa kisiasa wamemchomekea.
 
Mzee wamemchomekea nini maana aalipotaja shetani kitu chini
 
Hahaha Raila utavunjika bure usigombee mwakani
 
Ulikuwa mkutano wa siasa au was dini? Ndo madhara ya kuchanganya mada.
 
Duu, hatari sana Mubgu awe pamoja nao wapone haraka!
 
Mambo ya kawaida kwasasa upande wa wana siasa
Mbona wana dondoka wengi
 
Hii imetokea leo. What does this mean?

Cord leader Raila Odinga is reportedly nursing injuries after he was injured during a recent trip to Mombasa County.

Odinga was addressing his supporters when a dais he was speaking on collapsed and leaders fell to the ground.

Pole Agwambo.
 
Back
Top Bottom