Kenya - Kenyata nami sikupenda sana lakini Wakenya wameamua. sikupenda hasa kwa mawazo yangu kuwa ule ukoo ulishatawala na kujikusanyia mali kemkem hivyo usiendelee na kufamya mfano wa ufalme. Kuna uwezekano Uhuru kabebwa na historia ya anakotokea na si kwa sababu yeye kazidi wenzake kwa ubora. kwa msingi huo ukigombea na mtu wa aina hiyo inakuwavigumu kupita hilo tu! sina chuki na Uhuru
Hii ndio shida kubwa,,katika bara la Afrika.
Hapa,,,hautafautishi walio soma na wale wahakuwahi.
Tunapenda kuchukua njia za mkato na kuamini,,,kwa
urahisi,,,vile wengine wanasema badala ya kuchukua
ile njia ngumu ya kutumia wakati na kujua kiini cha
kila njambo.
Sasa uvumi ni ati,,,,wakikuyu wamejikusanyia mali na
kwahivyo,,,ni virahisi kwa wale wanapenda kuamnini
kila njambo,,,,kwamba kila mkikuyu ni tajiri,,,,,Kenya.
Huo ni uvumi wa hali ya chini.
Kwa wale ambao wanaielewa Kenya vilivyo,,,ni kwamba
ukitaka kuwaona maskini wa hali ya chini,,,utawapata
katika jamii ya wakikuyu,,,sawa na makabila mengine ya
Kenya.
Hii dhana ati,,,utachuna mali,,,,mali si matunda ya kuchunwa.
Mali ni kutengezwa na si kuchunwa.
Ati,,jamii nzima ya Kenya ikachuna mali,,,,,si hiki ni
kichekezo,,,,,,,,
Hakuna viabure katika hii dunia,,,vigumu sana kwa
watu kuwa sawa wote.
Raila,,mwenyewe ni mmoja wa ma-Billionaire in Kenya,,,
kwanini na si mkikuyu?????????
Anaishi katika jumba la kifalme na majirani wake ni wakikuyu
na wengine matajiri kama yeye kutoka makabila mengine.
Hapa,,class ni utajiri wako,,na si kabila lako.