Raila Odinga Kujitoa Uchaguzi wa 26th October 2017

Raila Odinga Kujitoa Uchaguzi wa 26th October 2017

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Kinara wa NASA Raila Odinga anampango wa kuwashawishi wafuasi wake wasishiriki uchaguzi wa marudio utakaofanyika tarehe 26th October 2017. Raila Odinga anategemewa kusafiri muda wowote kuanzia sasa kwenda UK na US na anategemewa kurudi baada ya uchaguzi huo kufanyika.
Mahakama kuu ya Kenya leo ilitupilia mbali mpango wa NASA kukataa tume ya uchaguzi ya Chebukati isisimamie uchaguzi huo, pigo lingine ni baada ya chama cha Jubilee kufanya kampeni za nguvu na kuwachukua wafuasi wengi wa NASA. Mpaka sasa zikiwe zimebaki siku 16 kabla ya uchaguzi huo kufanyika chama cha NASA hakijafanya kampeni zozote kutokana na ukata.
 
Raila akihojiwa na waandishi amesema hakuna mtu wala mahakama inaweza kumlazimisha kushiriki uchaguzi! Kumekucha!
 
Mgogoro mzito wa kikatiba unanukia Kenya. Mungu epusha shari.
 
Yes ajitoe kabisa. Uhuru achukue nchi saa moja asubuhi
 
Si ajitoe fasta tu,Uhuru akamate usukani
 
Asiposhiriki itabidi akamatwe kwa kuhujumu uchumi wa Kenya, rufaa ilikuwa ya nini kama hataki kushirika kuwania uongozi.
 
Asiposhiriki itabidi akamatwe kwa kuhujumu uchumi wa Kenya, rufaa ilikuwa ya nini kama hataki kushirika kuwania uongozi.
RAO is untouchable my fren! ndio utajua Kenya sio Tanzania au Uganda
 
Akijitoa itabidi atoe sababu za msingi,akishindwa tutachukulia kwamba alijua atashindwa akaamua kukacha mechi.
 
Asiposhiriki itabidi akamatwe kwa kuhujumu uchumi wa Kenya, rufaa ilikuwa ya nini kama hataki kushirika kuwania uongozi.
Maalim Seif alikamatwa kwa kutoshiriki uchaguzi haramu wa marudio Zanzibar?
 
Raila hana mpango na uchaguzi Kenya ..
Ile kete ya Raila kwamba Uhuru na wafuasi wake kugomea uamuzi wa Mahakama kutengua ushindi wa Uhuru ndio alikua amelenga kuingia seikalini kwa mlango wa nyuma....sasa Uhuru alishakumbali uchaguzi urudiwe kama ilivyosema mahakama ina maanisha Raila hana chake maana anajua fika kumbwaga Uhuru ni ngumu sana...
 
Back
Top Bottom