Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Kinara wa NASA Raila Odinga anampango wa kuwashawishi wafuasi wake wasishiriki uchaguzi wa marudio utakaofanyika tarehe 26th October 2017. Raila Odinga anategemewa kusafiri muda wowote kuanzia sasa kwenda UK na US na anategemewa kurudi baada ya uchaguzi huo kufanyika.
Mahakama kuu ya Kenya leo ilitupilia mbali mpango wa NASA kukataa tume ya uchaguzi ya Chebukati isisimamie uchaguzi huo, pigo lingine ni baada ya chama cha Jubilee kufanya kampeni za nguvu na kuwachukua wafuasi wengi wa NASA. Mpaka sasa zikiwe zimebaki siku 16 kabla ya uchaguzi huo kufanyika chama cha NASA hakijafanya kampeni zozote kutokana na ukata.