Raila Odinga kutoa Maamuzi Magumu kuhusu hali Tete ya kisiasa nchini Kenya

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani NASA nchini Kenya Raila Odinga leo anatarajiwa kutoa maamuzi magumu kuhusu hali tete ya kisiasa nchini Kenya baada ya Uchaguzi.

Bw. Odinga ambaye aliwaambia Wakenya wasiende kazini siku ya Jumatatu (jana), wito ambao hakuitikiwa na wengi hata wale wafuasi wake. Maamuzi yake yanasubiriwa kwa hamu nini atawaambia Wakenya hususan wafuasi wake hao.

Wadadisi wa mambo ya kisiasa wanasema huenda akakabidhi kesi yake hiyo kwa umma wa Wakenya

Bw. Odinga amepinga matokeo ya uchaguzi wa Agosti 8 ambao tume huru ya uchaguzi IEBC ilimtangaza Rais Uhuru Kenyatta kuwa mshindi.

Updates

Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema muungano mkuu wa upinzani NASA utafungua kesi kwenye Mahakama ya Juu ya nchi kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu.

Odinga amewaita wanasiasa walioshinda "vifaranga vya computer", alisisitiza kwamba matokeo ya uchaguzi yalibadilishwa kwenye computer za Tume ya Uchaguzi.
 
Je, kutokubali matokeo ya uchaguzi ni mazoea ama ukosefu wa haki?
 
Ameahirisha kesho ndo atatoa tamko,huyu akubali tu matokeo asitake kuvuruga amani iliyopo
 
hawa ndio wale watu huwa tunawaita perrenial idiots...mbona wanasiasa wengi wa NASA kama Peter Anyang Nyongo babake Lupita Nyongo ameamrisha watu waendelee na kazi zao?... Joho pia alisema kazi ya kujenga nchi iendelee kama kawaida...huyu akubali tu matokeo..... Kenya ni kubwa kumliko...
 
Lile tamko lake watu wasiende kazini ilhali hawajaenda wiki mzima. Lilikuwa ni baya sana na kujichimbia kaburi kisiasa
 
Kibera tidim, Kibera tialala!
 
Lile tamko lake watu wasiende kazini ilhali hawajaenda wiki mzima. Lilikuwa ni baya sana na kujichimbia kaburi kisiasa
Odinga yeye mwenyewe ndiye hujishinda kisiasa kwa kutamka ujinga.Mara tusiende kazi ,mara tufukuze waKenya flani kajiado ,kuchochea fujo ,na mara nyingine tuhujumu uchumi. Odinga is NOT presidential material.
 
Mkuu nadhani hapa ndipo alipokuwa akitaka Kenyatta aende kwenye vyombo vya sheria

Kwa hivyo leo kasema anaenda mahakamani bila shaka ndo itakuwa mwisho wake kwa shauri lake kutupilia mbali
 
Back
Top Bottom