Raila Odinga ni imara zaidi, amchana Rais Ruto uso kwa uso Msibani

Raila Odinga ni imara zaidi, amchana Rais Ruto uso kwa uso Msibani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tuna Imani na kiongozi Wetu Tundu Antipas Lisu lakini bado hajafikia level za Wapinzani wa huko Duniani, na huo ndio ukweli.

Jana hapo Kenya palikuwa na majibizano ya ana kwa ana Kati ya Raila Odinga na Rais Ruto wakiwa Msibani na hatimaye Ruto akasema " mh Waziri mkuu mstaafu katika mambo ya kupanda gharama za Maisha na Kodi ni ama Watu wako wanakudanganya au Mimi Watu wangu ndio Wananidanganya"

Wapinzani wa Tanzania mbele ya Rais ni Watu wa kujipendekeza sana labda yule Heche wa Tarime Vijijini.

Dominica Njema!
 
Odinga sio mlamba asali. Chadema hasa Mbowe ni gold digger, ni mtafta fursa za kujineemesha mwenyewe. Karushiwa fupa na ccm ambalo hawezi kulitema.

Sasa Chadema hasa Mbowe kazi yake ni kusifia Samia kila kukicha na anakua mkali sana ukimwambia amelamba asali ila ukweli uko wazi kwamba ni mlamba asali mkubwa.
 
Back
Top Bottom