Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kinara wa upinzani Raila Odinga amekiri kuwa hajapeana mkono 'handshake' yoyote na rais William Ruto. Katika mahojiano, alisema; "Sijakuwa na handshake yoyote na Ruto kwa sababu hatujakubaliana kimaandishi."
Mgombea huyo wa uenyekiti wa muungano wa mataifa ya Afrika (AU) aliendelea kusema kuwa rais mustaafu Uhuru Kenyatta alimsalimia tu rais wa sasa William Ruto. Alisema kwamba hawakusema kuwa hiyo ilikuwa ni handshake na kwamba wataenda kufanya kazi pamoja.