Huu ni ukweli kabisa utafiti wangu ambao si wa kitaalamu na wa haraka haraka kwa baadhi ya rafiki zangu wa Kikenya umenionyesha kwamba Kenyatta anaungwa mkono na wengi sana. Kura hubadilika dakika za mwisho na kuleta matokeo tofauti na yale ya opinion polls. Raila ana kazi nzito sana ya kumuangusha Kenyatta.
CDM inabidi wabalehe sasa, si sahihi kabisa kwa wao na wamecheza kamari kubwa kwa wao kutangaza hadharani wanamuunga mkono Kenyata. CCM wao dakika za mwisho watatoa tu statement ya kuwatakia wakenya uchaguzi mwema na watamuunga mkono yoyote wakenya watakayemchagau, hawachezi kamari za kijinga.