BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Huu ni ukweli kabisa utafiti wangu ambao si wa kitaalamu na wa haraka haraka kwa baadhi ya rafiki zangu wa Kikenya umenionyesha kwamba Kenyatta anaungwa mkono na wengi sana. Kura hubadilika dakika za mwisho na kuleta matokeo tofauti na yale ya opinion polls. Raila ana kazi nzito sana ya kumuangusha Kenyatta.
It is very hard for Odinga to become the next president of Kenya.