RAILA ODINGA: Tarehe 12, Disemba nitapishwa na kuingia Ikulu

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411


Kiongozi wa Muungano wa Upinzani Nchini Kenya(NASA), Raila Amolo Oginga Odinga amesema kuwa ataapishwa kuwa rais wa taifa hilo mnamo tarehe 12 mwezi Disemba na kuingia Ikulu rasmi.

Kauli hii ya Raila Odinga imekuja saa chache baada ya Rais Mteule wa Taifa hilo, Uhuru Kenyatta kuapishwa katika Uwanja wa Kasarani.

Asema kuwa Uhuru Kenyatta si rais wa Kenya hivyo yeye hatoapishwa kama kiongozi wa Upinzania Nchini Uganda, Kizza Besigye bali ataapishwa kama Emmerson Mnangagwa alivyoapishwa nchini Zimbabwe.

======
Opposition chief Raila Odinga has announced that he will be sworn-in as President and get into State House on December 12.

The NASA leader withdrew an earlier statement against this shortly after Uhuru Kenyatta and William Ruto's swearing-in at Kasarani stadium on Tuesday.

"Uhuru Kenyatta is not the President of Kenya. We will not be sworn-in like [Ugandan Opposition leader Kizza] Besigye. We will be sworn-in like it was done with Mnangagwa in Zimbabwe," he said

"They have sworn-in Uhuru as President. We will also have a swearing-in]."

Chaos then broke as police moved in to disperse the supporters. They fired many gunshots and teargassed Raila's convoy.

- The Star
 
 
WAMEWASAMBARATISHA VIBAYA ; NIMEONA CITIZEN LIVE WAKATI ANAUTUBIA
 
Hivi huyu akipewa urais atatoka kweli kipindi chake kikiisha!maana anaonekana ana usongo na ikulu balaa..
 
Duuu amfute mwenzake huku Dr. Shika maana naona dream zao za mrengo mmoja.................. Haya ngoja niangalie uwanja wa Jacaranda mie huko Embakasi waace wacheze mzobe mzobe na maji ya washa washa
 
Anaapishwaje hiyo December hata uchaguzi hakushiriki?
Something is wrong.

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…