RAILA ODINGA: Tarehe 12, Disemba nitapishwa na kuingia Ikulu

hiyo maongeo ya Raila ni sign ya kuwa senile, ugonjwa ya uzee inayopunguza kufikiria kwa akili.
 
afanye yake kwani anawasumbua Wakenya kuwaandamanisha mwisho wa siku wananchi wanaishia kupigwa virungu halafu yeye anatoka salaama! Nawaombea Wakenya waachane na hii mambo kwasasa waijenge nchi yao siasa zina muda wake!
 
Mi nimeishia kucheka tu baada ua kusoma hii habari....
 
afanye yake kwani anawasumbua Wakenya kuwaandamanisha mwisho wa siku wananchi wanaishia kupigwa virungu halafu yeye anatoka salaama! Nawaombea Wakenya waachane na hii mambo kwasasa waijenge nchi yao siasa zina muda wake!
we nani, eto nawashauri, we kama nani?
 
Bangi si lazima uvute,hata ukitazama kwenye picha itakulewesha
 
ndiyo maana kuna mtu hakwenda anasubiri mwezi ujao?
 
Bora lowasa alikubali mapema na akatuliza wafuasi wake. Lkn huyu.....mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…