Kenya 2022 Raila Odinga: Tulieni, tunafungua kesi kupinga Matokeo ya Urais

Kenya 2022 General Election

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Raila Odinga amewataka wafuasi wake kuwa na amani wakati chama hicho kikijiandaa kuwasilisha Mahakama Kuu ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais uliofanyika Agosti 9

Akizungumza kwenye makazi yake huko Karen leo baada ya kutembelewa na viongozi wa kidini, Odinga ameshikilia msimamo wake kuwa matokeo ya Uchaguzi huo yaliingiliwa, hivyo chama chake kinachukua hatua za kisheria kutafuta suluhu

Amenukuliwa akisema "Tumeamua kuhamia kortini kwa sababu tunataka kuona haki ikitendeka na amani inatawala katika taifa letu. Tunataka kujua ukweli juu ya baadhi ya mambo yalivyofanywa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kabla ya kutangaza matokeo. Kura za Urais zinatia shaka sana,”

=========================

Azimio la Umoja One Kenya Alliance presidential candidate Raila Odinga has urged his supporters to remain peaceful as the political outfit prepares to file a petition challenging the outcome of the August 9 presidential polls at the Supreme Court.

Speaking at his Karen residence on Saturday after a host of religious leaders paid him a visit, Odinga maintained that the Azimio faction strongly believes that the outcome of the said contest was interfered with, but that the outfit would exercise democracy by seeking legal redress.

"We have decided to move to court because we want to see justice served and peace prevail in our nation. We want to know the truth because some of the things that were done by the Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) prior to the announcement of the presidential polls are very questionable," said Odinga.

Source: Citizen Digital
 
Nitashangaa kama ataamua kwenda kujiaibisha mahakamani!
 
Akae akijua yeye ni fungu la kukosa, akalee wajukuu sasa
 
Ye anafikiri mahakama ipo upande wake siku zote asubiri atakavyoaibishwa.
 
Back
Top Bottom