Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Chukuwa muda wako kuisikiliza, Raila Odinga kama mpinzani Mkuu nchini Kenya akiulizwa maswali magumu ambapo anajikanyaga na kushindwa kujibu kama vile kuiba kura, vile vile anaulizwa kama vile yeye kutokukubali kushindwa na kuona kwamba yeye tu ndiyo anafaa kuwa Raisi wa Kenya na apele anapokataliwa basi kaibiwa kura n.k.!