Kabaridi
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 2,022
- 534
Ukabila Kenya hautokoma Kabaridi, and u know it. Mbona tena unailenga kwangu kana kwamba
mie ndie mdau wa ukabila? Wakenya wenyewe nd'o wakabila...hususan jamaa za mitaa ya kati.
Unaposema Sonko anatosha usenator unamaanisha nini maana sikuelewi?
By the way hizo siasa za Nairobi mimi ni by-stander na simo kabisa. Kwangu mimi ni
Mombasa na nitakuja na nyuzi kali kuhusu hio sehemu hivi karibuni.
Jiji mnalo nyie.
Tunajaribu sana kuilenga hi ukabila kwa sana kwa sababu inagawanya taifa. Wakati CORD inachakachua aspirants wa USeneta kwa madai ya national outlook! kutoa bi Ongoro kutoka useneta kwa madai ya kuweka mkikuyu to capitalize on a NBI kikuyu vote ni udikteta na inadhulumu haki za Bi Ongoro. Is this CORD for real infringing on womens rights to self-determination?
Alivosema bi ongoro kwenye vyombo vya habari yaonekana there were no consultations and consensus. Bi ongoro anajiamini na alikuwa amejenga miundo msingi za nguvu na wakazi wa NBI. Yule aliyesimama kasarani ameenda wapi sasa? Amepewa pesa taslimu anyamaze na astaafu kwenda nyumbani au vipi?! unaweza tupatia uhondo how CORD family politics is currently being driven!:smile::A S 465: