Raila omoro odinga kuapishwa mara tu baada ya uchaguzi

Raila omoro odinga kuapishwa mara tu baada ya uchaguzi

stujadiliane

Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
66
Reaction score
84
Kinara wa Nasa Raila odinga ataapishwa mara tu baada ya uchaguzi Mkuu unaotegemewa kufanyika alhamis kupita
 
Bila kushindana Mkuu? Atakayeshinda ndo ataapishwa.
Alafu bangi haivutwagi Mchana hivi
 
Hata Maalim Seif wetu Bado anasubiria kuapishwa mpaka kesho!

Raila atulie tu dawa ifanye kazi..
 
Back
Top Bottom