Raila reveals his next move if he loses in August 8.


Huna uwezo wa kunijibu hili swali maana sote tuliona kilichotendeka kule huku mkikenua meno na kuwachekea wale 'ndugu' zenu.
 
Huna uwezo wa kunijibu hili swali maana sote tuliona kilichotendeka kule huku mkikenua meno na kuwachekea wale 'ndugu' zenu.
sitaki nianze kurudia hapa aliyoyafanya Nyerere huko, ngoja nimwache mzee wangu apumzike
Wewe uliyezoea kuchekelea uendelee kucheka

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
well said bruh! yaani tuwe na amani baada ya uchaguzi...tz lazma wanyoroshwe...Kenya si nchi ya kujifananisha nayo klia uchao
 
 
Namkubali sana Donald Trump, aliweka wazi kuwa hawezi kushindwa na hayuko tayari kukubali kushindwa... alijiamini na kusimamia ndoto yake...
 
inaonekana unaumwa ugonjwa aina ya Tanzania maana usipoitaja tanzania kwenye post na comments zako hufurahii ngoja ni kwambie tu kwamba Tanzania sio marekani kwamba mkipigana tutawauzia silaha we wish Kenyans all the best. Chagueni vizuri msipigane mmalize uchaguzi salama halafu njooni tuendelee kushindana kiuchumi kama mtaendelea kuwa mbele kiuchumi all the best tukiwazidi inshallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…