MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hili swali nimekuwa nakujibu mara kwa mara, nashangaa ulivo kichwa ngumu kulielewa!
Haya sema nyie mlifanya nini!? Kama hamkuhusika kufanya wizi kadhaa huko Rwanda
A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
Huna uwezo wa kunijibu hili swali maana sote tuliona kilichotendeka kule huku mkikenua meno na kuwachekea wale 'ndugu' zenu.